Elections 2010 Naomba kuwajua waliotangaza nia kugombea ubunge jimbo la ukonga na ilala

Apr 29, 2009
5
0
Wana JF naombeni mwenye kuwajua wanaotarajia kugombea ubunge jimbo la Ukonga na Ilala ikibidi nawasifu wao.

Ninatanguliza shukrani zangu za dhati
 
Inategemewa Makongoroo Mahanga atasimama tena jimbo la Ukonga. Kuhusu wasifu wake...tafadhali tembelea tovuti ya Bunge.
 
Back
Top Bottom