To Kigwangwala:
Wewe ni kiongozi mzuri ukituliza akili, punguza mihemuko ndipo utafanikiwa.
Umeshatoa amri kadhaa huko nyuma lakini hazijatekelezwa hata ukirejea hii ya juzi ambapo umetoa siku 7 kwa Jeshi la Polisi, nao wakakujibu na wamegoma kutekeleza, HII INAKUFANYA UDHARAULIKE unajishushia...
Tulikua na wazo zuri la kufufua shirika letu la ndege, mipango yetu ilianza vizuri kwa kununua ndege mbili.
Wakati tunaagiza nyingine ndipo wapinzani wetu wakaanza kuingilia mambo yetu kutukwamisha. Wanasemaga kosa la beki ndio nafasi ya mshambuliaji.
Anyway bado tunapambana msiwe na wasiwasi...
Kwahyo kutoa 150 kwa ajili ya chakula cha mtoto wako mwaka mzima umeona ni pesa nyingi sana!
Kwani hapo jirani hakuna shule jirani ambayo haina chakula ukamhamishia mwanao huko
Alianza na Nyalandu sijui ile ishu imefikia wapi mpaka mda huu.
Akaja kwa Jeshi la Polisi nao wakamnyoosha jamaa kaufyata
Leo kaanza na mwingine! Huyu jamaa vipi mbona anadhalilisha wasomi wenzake? Hatutegemei mtu wa PHD kuropoka kama zero brain
Tanga Tech ni shule kubwa ile, wana ruzuku ya kutosha na pia wale wa A level wanalipa ada na michango hvyo wadogo zao wanaupatia humo humo.
Hujawahi kuchangishwa lakini unampatia mwanao pocket money
Ni jambo la ajabu hili! 70k ya kula mwaka mzima anaona ni pesa kubwa sana. Fanya mahesabu rahisi tu, kwa siku mzazi anampa kiasi gani mtoto wake kwa ajili ya chakula shuleni? Je kwa mwaka wa masomo una siku ngapi?
Wachangie tu hakuna jinsi!
Hivi kama hakuna madawati watoto wakae wapi?
Kama hakuna mwl wa somo husika wanafunzi wakae na kujisomea wenyewe?
Chakula ni cha kwao nani awanunulie?
Kinachotakiwa hapo ni utaratibu gani utumike kuchangia pamoja na usimamizi wake. Pia mwanafunzi asipate usumbufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.