Habari waungwana,
Hivi ni sahihi kweli kinachofanywa na hii halmashauri ya Muheza, yani imeajiri watumishi halafu haiwapi stahiki zao kama pesa za kujijimu na hata mishahara yao.
Ndvyo utaratibu ulivyo ama ni uzembe tu wa wakuu pale ofisini. Watumishi wake wanahangaika tu hawana chochote wanachopata na kazi ama majukumu wanaendelea kupewa is it fair kweli.
Nawasilisha kwenu wadau tujadiliane hili suala. Ni kweli sera nikuchapa kazi lakini kuchapa kazi bila haki za msingi kwa mtumishi kweli inawezekana watumishi waishije, wale nini? Ama ndiyo weledi huo unasemwa. Mkurugenzi hana cha kusema, Afisa utumishi naye ni hivyohvyo maana yake ni ipi?