Bwana mkubwa huu ujenzi nazungumzia madarasa yanayojengwa kwa zile pesa za mkopo kutoka IMF ambapo imetengwa mil 20 kwa kila darasa, iweje sasa wananchi waenyeshwe ikiwa pesa ya ujenzi ipo? Huoni kama kuna dalili za upigaji hapa?
Tuliambiwa tozo ni kwaajili ya ujenzi wa madarasa ili kuwapunguzia wananchi mzigo na kuna kiasi cha pesa kama bilioni kadhaa zilitengwa kwaajili ya shughuli hiyo + mkopo wa IMF. Sasa kama malengo yalikuwa ni kupunguzia wananchi mzigo, kwanini wachimbishwe tena msingi na kusombeshwa mchanga na...
Tuliambiwa tozo za miamala ya simu ni kwaajili ya ujenzi wa madarasa. Kadhalika, juzi kati serikali ya mama samia imekopa kiasi cha zaidi ya trioni moja kutoka IMF ambapo zaidi ya mabilioni ya pesa kwenye huo mkopo yametengwa kwaajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kama sehemu ya maandalizi ya...
Movie inaanza kwa Mke kushambuliwa na shemeji yake wa damu tumbo moja na mme wake kwa kejeli na maneno makali na kupelekea mke kushindwa kutimiza majukumu yake aliyokabidhiwa na serikali kupambana na ugonjwa wa mlipuko uliotikisa dunia na taifa lake
Baadaye mke naye uvumilivu unamshinda...
Kwa kikwete pia mlikuwa mnasema huu upumbavu ila alivyokuja magufuli mkaanza kutoa milio ya kila aina mkarudi kumkumbuka tena kikwete. Ndio maana mkapa aliwaita wapumbavu na malofa maana hamjui mnachosimamia
Huyu ni DED wa wilaya ya Karatu. Anaitwa Waziri Morice.
Ananyanyasa sana watumishi wa Serikali katika wilaya yake na anavyowanyanyasa anatamba kuwa anaweza kuwafanya chochote na watumishi hao wasimfanye chochote wala kumpeleka popote.
Baadhi ya Mambo ambayo amekuwa akiyafanya:
1. Amekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.