Recent content by mdaharunga

  1. M

    Immigration Officers wa Tanzania upande wa Nakonde border acheni njaa

    Write your reply...Mkuu nadeclare interest, mimi ni mdau kwenye Idara hiyo. Yaani kama afisa uhamiaji yeyote yule duniani hakukuluza maswali yafuatayo basi aidha mzembe, ama uzoefu umezidi, amekuogopa, umempa rushwa, ama amejiridhisha kwa kukutazama na kusoma taarifa ulizojaza. Maswali hayo ni...
  2. M

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Kuna watu wajinga sana halafu hawana hata uwezo wa kupambanua mambo. Ukisema Mange ni hero, umamaanisha nini? Ameshinda kitu gani? Nia ya kuitisha maandamano ilikuwa ni nini? Je imefanikiwa? Katetemesha serikali kivipi? Hata, kwani operation UKUTA hali ilikuwaje? Kila panapotokea viashiria...
  3. M

    Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

    Mnaniudhi mnaokuja na hoja hizi!!! Kwahiyo wizi wa CCM unahalalisha wizi wa vyama vingine?!! Halafu, hapa kinachojadiliwa ni riport ya CAG ambayo inaonesha Mahesabu ya CCM ni safi!
  4. M

    Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

    Kamanda, tatizo ni wewe kuwa too defensive to accept challenges, mpaka unaonekana hujui mambo!!. Hivi kweli huna hoja ya kujibu?!!! Nooo, naamini unayo maelezo. Zijibu hoja zao.
  5. M

    Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

    Mjibu hoja zake. Pumba zipi kaongea? Kuna mahala popote CHADEMA walishatolea ufafanuzi tangu waanze kutuhumiwa?
  6. M

    Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

    Wewe kamanda vipi? Hapa hayaongelewi mahesabu ya nani wala nani. Ni ripoti ya CAG. Huko CCM wametoka safi, siyo kama miaka yannyuma. Na hata kama CCM wanaiba siyo justification ya CHADEMA kuiba
  7. M

    Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

    Ni hivi, lugha ya ukaguzi ndiyo hiyo. Huwa haitoi conclusion ya wapi hela zimeenda Bali itakuonesha mapungufu ama upotevu was fedha. Ni kazi kwako kurekebisha ama kutolea ufafanuzi mapungufunama upotevu huo. Hapa kunatiliwa shaka kuwa, CHADEMA haijawahi kukopeshwa kiasi hicho cha fedha, hakuna...
  8. M

    Nape: Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge haupo kwenye ilani, sie tulinadi mradi wa gesi. Huu tumedandia tu

    Sawa kabisa, si haya aliyoeleza yalishaisha toka kitambo! Katiba ilishabadilishwa sasa mwisho wa uongozi wa chama unajulikana, si ndiyo? Ruzuku sikuhizi inafika hadi kwenye matawi. Hakuna ushahidi wa upendeleo kwenye uteuzi wa nyadhifa mbalimbali ikiwemo ubunge wa viti maalumu. Haya ni...
  9. M

    Ilani ya CCM 2005 iliyomuingiza JK; na ya 2010 iliyomrudisha tena - WaTZ ni Wepesi Kusahau?

    Ujinga wa wafuasi wa vyama ndiyo mtaji wa wanasiasa. Laiti wafuasi wa vyama wasingekuwa wajinga kusingekuwa na upuuzi kama huu. Juzi mtu alikuwa mpinzani wako kindakindaki na unajua alikuwa kwenye fursa, mara mrija wake ulipokatwa anajifanya kuungana na wewe kwenye upinzani, na kwa ujinga nawe...
  10. M

    Hospitali ya Taifa Muhimbili hushikilia maiti hadi deni lote lilipwe. Maiti zitokazo ICU deni hufikia hata zaidi ya 5mil

    Hilo la kushikilia maiti ni kweli. Shemeji yangu alizuiliwa hapo mpaka tulipe deni. Mbaya zaidi familia ilikuwa imeiahiwa kabisa tukaambiwa tuandike barua ya kuomba msamaha. Kuna kitengo cha ustawi wa jamii pale Muhimbili, barua inaelekezwa huko. Sasa hicho kitengo wanaingia kazini muda...
  11. M

    RC Makonda: Watu hupenda kusema wasiyoyajua ila wanayoyajua hawasemi

    Kuna mambo kadhaa yaliyisababisha Makonda kuchukiwa na watu wachache huku wakijifanya ni wengi. Nitataja matano 1.Hasira za watu dhidi ya Makonda baada ya kushikia bango madawa ya kulevya 2. Siasa 3.Hasira za watu waliotumbuliwa 4.mob psychology (kufuata mkumbo). 5. Wivu. Duniani kote...
  12. M

    Nanyi muwe tayari kukosolewa! Ndiyo demokrasia...

    Kwani mbona maaskofu hawakuutoa waraka wao kwa siri? Yaani ibaki wao ma Raisi tu? Waliyekuwa wanamkosoa si ni Rais, sasa kuutoa waraka makanisani na kwa taifa kwa jumla ilikuwa ina maana gani? Hivyo aliyeukosoa waraka ule, alifuata utaratibu uleule uliotumiwa na maaskofu.
  13. M

    Nanyi muwe tayari kukosolewa! Ndiyo demokrasia...

    Kwasasa linachukua mkondo huo, ingawa awali halikuwa wazi sana
  14. M

    Nanyi muwe tayari kukosolewa! Ndiyo demokrasia...

    Hapakuwa na haja ya kueleza kwanini hakupinga waraka wa nyuma. Muktadha wa waraka wake ulikuwa ni kujibu waraka uliopo. Hapakuwa na sehemu hata moja iliyo refer jambo lolote la nyuma. Hata waraka wa KKKT haukugusia jambo lolote la nyuma. Hivyo Prof. Mkumbo alijibu waraka huu, na alijibu akiwa...
Back
Top Bottom