Recent content by mdada jasiri

  1. mdada jasiri

    JamiiForums Tanzania Msaada/mawazo kuhusiana na kozi ya IT

    IT ni kozi nzuri iwapo huitegemei saaana kuendeshea maisha yako, ni moja ya masomo yanayohitaji ubunifu na kujituma sana kuyafanya ili yakuletee matokeo mazuri,kama umependa kweli toka moyoni nakushauri usome yatakutoa kama sio kwa kuajiliwa basi hata kujiajili inawezekana pia!
  2. mdada jasiri

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu ni kikojozi

    mpeleke CCBRT watamsaidia tatizo hilo mbona linatibika pale wako vizuri sana
  3. mdada jasiri

    JamiiForums Tanzania Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

    R.I.p ivan
Back
Top Bottom