Usisahau kuwa ndio wenye kashfa za ulawiti kwa watoto
Hawa unaowasifia akiingia mkatolik huwa wako kimya hata watiwe kidole jichoni hawasemi chochote ila shida aingie asiye mkatolik ndio hujifanya wazalendo hakuna mfano wao
Sio kweli kiongozi kwamba hakuna kanisa limewah kufungiwa duniani,
Kanisa la makenzie kenya lilifungiwa mbona
Tujitahid kuwa wakwel na tuwe na kumbukumbu
Mimi nampigia maana ktk awamu yake binafs nmepata ajira ambayo niliisubiria kwa miaka 6 nyumban, na ndugu zangu pia wamepata ajira kibao tu saiv tunapigiana simu tu vp huko ww umeongezewa sh ngap, wakat kipind cha nyuma ilikuwa tunapigiana simu kupigana mizinga
Sijawah kupiga kura ktk maisha...
Humu ili uonekane unaakili unatakiwa upinge kila kinachofanywa na serikali ila ukisapot au kuitetea serikal tegemea mitusi ya kutosha kutoka kwa hao wanaoamin wanaakili kuliko wote tz
Umemjib vzur huyu polepole ila tegemea matusi ya kutosha kutoka wa nyumbu wanywa viroba
Watanzania tumekuwa na kaunafiki fulani na km tusipojirekebisha itatugharimu sana
Kipindi cha kikwete kwa sisi ambao tulishakuwa na ufaham wa kufuatilia mambo ya siasa, Watz walikuwa wanalalamika na kusema kuwa nibora utawala(awamu) iliyopita wakimaanisha awamu ya rais mkapa, lakin hali hiyo...
Katika wilaya ya Mbinga kijiji cha Ruanda mkoani Ruvuma ni moja ya sehemu ambayo yanatoka makaa ya mawe mengi
Kumekuwa na utaratibu ambao naona hauko sawa na sijajua ni Serikali inakalia kimya suala hili au ndio utaratibu unaruhusu hivyo
Huko Ruanda kuna makampuni mengi yanachimba mkaa, yapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.