Usambazaji wa nguzo kupitia REA kwa mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi na baadhi ya vijiji vyake kama vile Mbonde, Mwenge Mtapika, Namkungwi ni wa kustaajabisha kwani wakazi wa pembezoni pekee ndio wanufaika huku walio ndani ni kitendawili kwani nguzo hazijawafikia.
Hivyo nahitaji ufafanuzi kwani...
Si kweli mkuu, mimi ni mwl wa taaluma ktk shule ya sekondari X kureset hakuna mpaka ila nenda kwenye shule au kituo unachotaka kufanyia mtihani kachukue serial number zilizotumwa toka baraza na utapewa buureee. Kisha nenda posta kalipie halafu nenda Internet cafe kajisajili rudi posta kaitume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.