mbati nenga
JF-Expert Member
- Feb 18, 2017
- 266
- 341
Wanabod nimehtimu fani ya maendeleo ya jamii ngazi ya stashahada ambapo nlianzia na koz ya nabe(pre entry) hapo awali ilikuwa iktolewa na serikal kwa walokosa vigezo, nmeshndwa kuendelea na elimu ya juu (chuo kikuu) kutokana na kukosa sifa ktk elmu yang ya sekondari (kidato cha NNE ) nlikuwa Nina 4 ya 31 ambapo d2, c1, f4 sasa nliona tangazo la necta linasema kurisit ni kwa wale tu walomaliza miaka mi5 ilopita sasa Mimi nlhitimu mwaka 2008 na cjajua vzur kuwa cjaelew kilichoandikwa ama wapo sahihi? Kwa mwenye uelewa tafadhar