Sasa naamin UKAWA mnaweweseka au uwezo wa kufikir kwa baadhi ya watanzania ni mdogo hivi unakomaje mtu ambaye umemnad na kunpgia kura magufuli kwa imani kwamba ataleta mabadiliko? Mtu anayeuumia ni yule ambaye alimponda magufuli na hakumchagua ila leo kwa busara ya watu wengine Taifa...
Kumbe kweli hiki ni chama cha udini kwan kamati kuu wanateuliwa au wanachaguliwa?ok waislamu weng nn madhara yake mpaka leo naona urais ni zamu zamu kumbe nlikuwa cjui sasa subir maamuz ya waislam huna hata haya waropoka tu
Tambuen kwamba kujaa ktk kampen c kupga kura vitu hv ni vya mara 1 hvyo hakuna anayetaka kusimuliwa.tofaut ya ukawa na ccm n watu wanaojaa kwa ccm wana mavaz ya chama hvyo ni waz kwmb ni wapga kura wao ila ukawa ni wachache huvaa sare n vgumu kuamini hao wote ni watu wao.
sasa mtu umeshikwa na mke watu ushahid upo halafu tena ujiteteee mmh.ukawa wamevulia nguo sasa waseme nini hawana jibu na hawana nguvu ya kupga vita ufisad wote ni wale wale sema nao wanataka wachukue dola wale zaid hapa hakuna eti wanataka mabadiliko ila ni kula bata tu
MWIGULU alisema jana hivi ccm ingempitisha lowasa ukawa wangesemaje juu ya lowasa kama c matuc ya ufisadi yangejaa?swali zur kwa watu wenye akili.pia hv ujinga wa slaa mnauona leo anapocmamia kile anachokiamini?hv hoja zote alizozisema mpaka akatishiwa uhai wake na mtu 1 ambaye leo ni tajir...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.