Mwaka 2025 siyo mbali kama Mwenyezi Mungu anakuweka hai,ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa kumpata Rais, wabunge na madiwani na kuna majimbo ya uchaguzi ambayo hakika makada watatoana jasho kweli kweli.
Jimbo la Mwanga ni moja ya majimbo nane ya uchaguzi mkoani Kilimanjaro ambalo kwa sasa mbunge wake...
Jidu Inawezekana unaongelea kitu usichokijua ama na wewe ni mmoja wa wapigaji,unadhani Takukuru ni wajinga kama wewe?wanaweza wakatoa taarifa ya kupotosha?,ili iwasaidie nini?
Kampuni ya Ukandarasi ya Rocktronic ya mjini moshi ni moja ya kampuni za ukandarasi zinazotajwa kupiga pesa zinazopaswa kutengwa na wakandarasi hao kwa ajili ya kutoa elimu ya kujikinga na mambuziki ya UKIMWI kwa jamii inayozunguka kwenye maeneo ya miradi wanayoitekeleza.
Iko hivi,fedha hizo...
Kuna waimbaji wanaimba 'mwenye pea' si mwenzako ni kweli mwenye pesa si mwenzako,wengine wanasema mwenye nguvu mpishe, huwezi shindana naye.
Nimeonelea nianze kuhathisia kisa hiki kwa kuanza hivyo pengine huko mbele mtanielewa namaanisha nini?
Mwezi novemba 2019 eneo la Majengo mjini Moshi...
APRI 29 mwaka 2019 tukio kubwa na aina yake lilitokea mjini moshi baada yakundi kubwa la watu wakiwa na silaha za moto kuvamia na kupora mali kwenye mgahawa maarufu wa Meku’s Bristol Bar and Restaurant .
Wavamizi hawa ambao walikuwa na kila aina ua jeuri baada ya uvamizi huo waliondoka na mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.