Recent content by mchomozo

  1. M

    JamiiForums Nionavyo kuhusu sakata la Mbowe na NHC

    Nikweli tusitumie utofauti wetu kiitikadi kumkomoa mtu
  2. M

    JamiiForums Confidence

    Sikh moja nipo maeneo ya mlimani city Mara kapita mtoto mrembo sinikaanza kumfuata kwanyuma ili nilushe swaga nilipomkaribia nikamgusa bega alipogeuka tu niksishiwa pozi nikajikuta nikitamka ETI DADA UNAUONAJE MWENENDO WAKISIASA NCHINI.. Nilikosa confidence mwenzenu
  3. M

    JamiiForums Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ kwa kufanya usafi

    Kwa uku kwetu nimewaona wajomba wachache wakipiga stories maeneo ya manispaa tena hawan vifaa vya usafi
Back
Top Bottom