Recent content by mchome haki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Fatma Karume kuhusu kilichojiri polisi dhidi ya Lissu

    Muhimu ni kua pamoja. Mazungumzo. Ccm na wapinzani. Tujenge nchi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akamatwa akiwa uwanja wa ndege wa Dar akielekea Kigali

    Najuta kuzaliwa Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za sasa za Tanzania, tujifunze kuheshimu mawazo na Maoni ya watu Wengine kudumisha Amani

    Wengine wanasali usiku na mchana. Wapate amani.. Sisi tunachezea amani yetu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi mwanasiasa na mfanyabiashara aliefanya forecast ya wapi aishi: Yuko wapi siku hizi?

    Alikua mjanja simsifu. Alijiandaa kuikwepa keko mapema Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunduma: RC Songwe aagiza bendera za CHADEMA zishushwe kupisha ziara ya Waziri Mkuu

    Naona giza. Mbele ya Safari... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tunduma: RC Songwe aagiza bendera za CHADEMA zishushwe kupisha ziara ya Waziri Mkuu

    Tunakoelekea... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: Tutawashughulikia wanaotoa matamshi ya kichochezi

    Tumkamate raisi mkapa kwanza.. Hana adabu.. Iwe mfano. Sio kuonea wanyonge Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwann chadema kinashinda zaidi majimbo ya mjini?

    Ccm ni bora kuliko chadema. Tabu wamejitakia Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mwingira ashtakiwa, adaiwa kuzaa na mke wa raia wa Marekani

    Mtunza kondoo kamla mwanakondoo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani Magufuli anatakiwa afanye ili wapinzani wamuheshimu?

    Simple tu. Atambue umuhimu wao kwa taifa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi; ukisoma International relations unaweza kufanya kazi gani?

    Kuna dada kasoma hii koz. Anatia huruma. Kubali kaz. Mradi kaz. Lasivyo utapauka Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama ulinunua nyumba ya serikali kwa bei ya corolla nakushauri iuze mapema, Magufuli atazirudisha

    Ndugu kwa ambao tayari wameziuza je??? Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais wanawanyanyasa viongozi wa kuchaguliwa na wananchi

    Tunazalisha chuki.. Visasi.. Ni hatari.. Hapo badae. Ccm jaribuni kua na busara. Nchi ni mali yetu wananchi sio vyama Post sent using JamiiForums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi vyuoni wanawake mnatega mimba?

    Hongera baba kijacho.. Nijulishe harusi.. Mchango wako upo Post sent using JamiiForums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania House girl ana mimba yangu

    Dogo kua jasiri. Tunza mimba. Ikiwezekana oa kabisa. Post sent using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom