Recent content by Mchoji Mumanji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vincent Nyerere atimiza ahadi ya kuboresha kituo cha afya Nyasho kutoa huduma ya upasuaji

    Usisahau mkuu walitoa zawadi sehemu fulani fulani hivi kisha baada ya kushindwa na kamanda wakaenda zichukua.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vincent Nyerere atimiza ahadi ya kuboresha kituo cha afya Nyasho kutoa huduma ya upasuaji

    Safi sana kwa Vicent Nyerere, ila inabidi apambane sana na ukiritimba wa wazee wa Musoma maana kwa majungu hawajambo hasa wazee wa mitaa ya IRINGO na MKENDO KATI ni noma.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Did Mwalimu die a natural death?

    Tamu sana hii kaka. Hakika inabidi iwe hivyo kwa wote wanaohusika.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Did Mwalimu die a natural death?

    nimeipenda hii mkuu. Inatupa mwangaza wa mambo mengi kuhusu hiki kinachojadiliwa. Mola atawamaliza wote waliohusika.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili

    Wote wanaosema ndo ubaya wa vyuo vya kata ungekuwa wewe ungevumilia? Kwa nn wasisitishe posho za hao wa mjengoni wawape wanafunzi pesa zao. Kama unanjaaa hakuna utachoelewa darasani ata ufanyeje.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wasafiri toka Kahama to Singida chini ya chesis

    Ni maisha magumu na hali mbaya za familia nyingi hapa nchini ndo inapelekea hali kama hiyo. Ni lini sirikali yetu hii itaona kuna umuhimu wa kuboresha maisha ya watanzania na kutoka katika wimbi hili la maisha jiwe.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nani analipa gharama ya hizi ndege za kijeshi zinazozunguka angani kila siku?

    safi sana kaka, ni lazima jeshi liwe na mafunzo mda wote sio likae tuu kama vitunguu ndani ya gunia. Mbona kozi wanazoenda askari wa kikosi cha ardhini na kosi nyingine hawajauliza zinagharamiwa na nani?
Back
Top Bottom