Recent content by mchizikichiziTz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kigongo Busisi imetekelezwa

    Ujenzi ulioendeshwa kwa kasi na udhamini wa Rais. Ujenzi ulianza Desemba 2019 na ulifikia asilimia 85 ifikapo Machi 2024. Katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mradi ulikua kwa kasi. Alikuta ukiwa umefikia asilimia 25 tu. Umefikia ukamilifu asilimia 100 ifikapo Juni 2025. 2...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili Mbeya Mjini kwenye Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 04,2025. #Kurayakwanzakwasamia #Haijapatakutokea
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    AHADI ZA CCM MBALIZI MKOANI MBEYA 2025-2030 •Kujenga miundo mbinu ya madaraja na barabara •Kuwapatia Mbolea ya Ruzuku na pembejeo za kilimo. •Ukamilishaji wa machinjio ya kisasa Kitengule. Kuanzisha kampeni ya chanjo na utambuzi wa mifugo •Ujenzi na ukamilishaji wa barabara ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Si kweli swala hili wapinzani wanachokiongea

    Nchi ya Tanzania ni nchi ambayo imekuwa katika msingi ya haki na demokrasia na haya ndio yanayoleta matokeo ya amani. Lakini amani ambayo ndani ya nchi tunayo ni kitu ambacho kinawaumiza wale ambazo hawapendi kuona Tanzania inayoongozwa na Dkt.Samia suluhu ikiwa nayo na hapa ndio inakuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Video clip ya wanamziki wanne wa tz(Diamond, ommy dimpoz, jux na Mario) kuhusu swala la watu kuacha kulaumu utawala wa serikali ni wamefanya sahihi kabisa maana wananchi wengi amekuwa wakitoa lawama kwa utawala pasipo kujua hakuna kiongozi atakaye kuletea chakula nyumbani Bali tufanye kazi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Moja ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu ni ujenzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Songwe ya Dkt. Samia Suluhu Hassan. Jengo linaloonekana ni jengo la madarasa ya kisasa kabisa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polepole apewe msaada haraka

    Wengine wanatekana wao kwa wao alafu wanasema ni serikali kumbe wanagombania nafasi kwenye chama chao
  8. M

    JamiiForums Tanzania Polepole apewe msaada haraka

    Kwaiyo unahisi polepole ni mfia nchi?? Kutokana na maarifa yako
  9. M

    JamiiForums Tanzania Polepole apewe msaada haraka

    Sawa mngese mwenzangu uliyeungana na huyo mgonjwa kuzusha mambo ambayo hayana ushahidi kazi kuaribu sifa ya utawala
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    wameweza kufaidika na mradi huu mama umetekeleza na pia bila kusaha mama umefanya ongezeko la ufaulu kwa asilimia 37% katika mkoa huo. Haya ni baadhi tu kati ya yale mengi aliyofanya Mhe.Raisi #haijapatakutokea #kurayakwanzakwasamia @ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @ccmtanzania
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Paka malay* anakitembeza
  12. M

    JamiiForums Tanzania Polepole apewe msaada haraka

    Yanayojili hivi sasa kwa Humphrey polepole wengi hawajayachukulia serious kutokana na kuonekana hayupo sawa katika afya ya akili, hivyo basi kama upo karibu naye hakikisha anaweza kupatiwa matibabu hayo. Maana kilichompelekea kufikia hapo ni kupewa madaraka ya kuwa balozi wa Tanzania nchini...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Wewe nae si ponjolo unaezurura ulaya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Huu usemi upuuzwe sio wa kweli
Back
Top Bottom