Hivii mtu akitaka kusoma AMO afate taratibu zipi kwa sasa hivi....?
Japo kwa Tanzania haipo,je akitaka kusoma nje inawezekana??
Na taratibu na vigezo zipoje???
Kwa anaefahamu naomba msaada...mtu mwenye diploma ya clinical officer na akapata gpa chini ya 3
Je akisoma foundation kozi akafanikiwa kupata GPA zaidi ya hapo...
Inawezekana kwenda kusoma MD?? vyuo vya nje??
Na tcu hawasumbui??
Kwa graduate wa Clinical Officer ambao wameshindwa kumaliza na GPA nzuri i. e zaidi ya 3 ili waweze kuendelea na masomo ya ngazi inayofuata, hivi inawezekana kusoma foundation kozi?
Na vyuo gani vinavyopokea watu wa design hio?
Mwenye uelewa naomba msaada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.