Recent content by Mchili

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna wa Uhamiaji...

    JPM angalia hapo mambo ya ndani kuna majipu mengi. Huo mradi wa kubinafsisha viwanja vya OYSTERBAY polisi nina mashaka nao ni rushwa kubwa sana. Toka lini wizara ya mambo ya ndani ikaanza biashara ya real estate?? Mradi huo uahusisha kumwachia mwekezaji kubomoa nyumba za staff hapo na kujenga...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanaolilia Katiba mpya ni Wavivu na Wazembe!

    Sijawahi kukutana naupumbavu kama huu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    uchaga umetoka wapi wee domo kaya? Walimuibia baba yako au uvivu wako unakuwewesesha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu abomoa hoja za UKAWA, Asema hazina mantiki kikatiba!

    Wee ni mchovu kweli. Unaleta ushabiki kwenye mambo ya msingi!!! Kama ni raia wa kawaida inabidi uchunguzwe akili zko kwani bunge halipo kumsikiliza raisi bali kumsimamia raisi na serikali yake kwa manufaa ya wananchi. Subiri huyo raisi mpenzi atakapoanza kuwaumiza ndipo utakapojutia ushabiki...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu na Wizara ya Afya lugha gongana

    Acha unazi wewe.. mkoa anakotoka unahusiana nini na utendaji wake?? Kwa nini kutoka kaskazini iwe dhambi? Kwa taarifa yako kaskazini ni Tanzania na wana mchango mkubwa sana kwa hii nchi ukiachilia siasa zenu za ubaguzi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania ITV kwanini mnarusha hotuba za Mbowe na kuacha za Bulembo kwenye kampeni za urais?

    Acha uchochezi wee ng'ombe, hakuna mwenye ubavu wa kumnyanyasa mtu anaeendesha biashara zake kihalali. Mliozoea kubebwa kwa kukwepa kodi ndio mnajinyea hovyo mkisikia serikali inabadilika. Mengi alikuwepo na ataendelea kuwepo kwa raisi yeyote atakaeingia madarakani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vijana tusishikiwe akili

    We unalia lia nini si uweleze CCM itawafanyia nini??
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vijana tusishikiwe akili

  9. M

    JamiiForums Tanzania Vijana tusishikiwe akili

    UVCCM ni genge la watoto wa viongozi. Sio umoja wa vijana wa Tanzania
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vijana tusishikiwe akili

    Kwa ujinga wenu Masisiem hamuwezi kuamini kama yanawezekana. Ngoja makamanda wakamate nchi uone inavyowezekana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ninatafakari hatima ya CCM kama Lowassa angekuwa ni mgombea Urais wa CCM

    kwani waliobakia huko ccm wamejisafisha? Kuna msafi yupi huko ccm!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    ccm wanatia aibu kama huo ndo uzinduzi wanaongelea tuu Lowasa na Sumaye aliyeingia jana kawaongezea cha kuongea. Hawana sera
  13. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Site unaenda jioni!! UKAWA wako site siku nyingi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa atakuwa adui namba 4 kati ya maadui wa 3 wa Mwl Nyerere

    Kwani amewaambia anaenda CCM. Muwe na adabu na heshma kwa huyu mzee wala hajasema nyie mnatukana hovyo. Huu ni uchochezi.
Back
Top Bottom