Vijana tusishikiwe akili

Vijana tusishikiwe akili

Labda wewe na wale vijana wehu wehu, vijana CCM HAIWEZI Kuwatelekeza,ndio maana ina UVCCM!,kura zitatosha acha kukejeli wazee!

UVCCM ni genge la watoto wa viongozi. Sio umoja wa vijana wa Tanzania
 
Aisha Iddi

Kwahiyo Magufuli kadanganya?

Ameahidi ajira kwa vijana na kujenga viwanda kila wilaya ataweza vipi? 50Million kila kijiji na kila kata... Maisha mazuri kwa walimu kama mapadri.... zahanati...hospitali kote nchini... barabara za lami kote nchini... madawati na dawa za kutosha kote nchini hizi ahadi vipi?

Je umejiuliza haya ya mgombea wako au huna ufahamu wa kutosha?

JK aliahidi ajira kwa vijana ziko wapi?[/QUOTE
Mama Aisha, Magufuli ni kweli kaahidi lakini sio baada ya siku 50 kama anavyosema babu kizee. Ndio maana nilishasema vyuo vyetu siku hizi vina produce pumba nyingi sana mitaani. Eti we naye unaambiwa zimebaki siku 50 tatizo la ajira nchini liishe , kivipi? haelezi. Then unashangilia tu......Magufuli anasema atajenga viwanda ila sio baada ya siku 50.

Tulia dawa ikuingie. Hamna akili ndio maana mnaiga kila kitu. Subiri uone miugiza ufunguke akili zako za mgando.
 
wanadanganywa watapewa ajira bwelele wakiwasaidia kwenda ikulu, wanaambiwa pesa zitakua nje nje tu wakiwapetisha wao kwenye uchaguzi, wanawadanganya hawatokuwa boda boda tena endapo watawachagua kwenda ikulu kumbe hawajui mbinu za wanasiasa uchwara wa bongo. Huu ni uongo wa asubuhi kweupe kabisa, pesa zitaendeshwa kwa mujibu wa kanuni za kiuchumi ili kuzuia mfumuko wa bei, siyo kumwaga pesa hovyo kisa mumewachagua. Ajira zitatolewa kwa uwezo wa serikali kuwalipa watumishi na uwezo wa wawekezaji kuendesha uchumi wao. Hata ukienda uingereza kuna shida kubwa ya ajira, hakuna nchi inayoweza kuotoa ajira kwa watu wake wote, na huwezi kuiacha kazi yako ya boda boda baada ya kupita Rais fulani, tunachotaka ni unafuu wa maisha tu
We unalia lia nini si uweleze CCM itawafanyia nini??
 
Tulia dawa ikuingie. Hamna akili ndio maana mnaiga kila kitu. Subiri uone miugiza ufunguke akili zako za mgando.

Ila siumekubali kiaina kuwa haiwezekani in reality kuleta ajira ndani ya siku 50? au nawewe akili zako ni za kama za wenzako wa Baraza la Vichaa la Chadema (BAVICHA)?. Haiitaji miujiza kufanyika uone kama unadanganywa mchana kweupe we mama.
 
Una mpenz aisha?? Nimependezwa nawe

mkuu, wewe nenda kahangaikie kwanza camera za cctv, then ndo uje utupe mrejesho hao wanawake watakupasua kichwa, wenzako akili zetu zote zinawaza uchaguzi huku mwenzetu ukiwaza kutendwa
 
Aisha Iddi

Kwahiyo Magufuli kadanganya?

Ameahidi ajira kwa vijana na kujenga viwanda kila wilaya ataweza vipi? 50Million kila kijiji na kila kata... Maisha mazuri kwa walimu kama mapadri.... zahanati...hospitali kote nchini... barabara za lami kote nchini... madawati na dawa za kutosha kote nchini hizi ahadi vipi?

Je umejiuliza haya ya mgombea wako au huna ufahamu wa kutosha?

JK aliahidi ajira kwa vijana ziko wapi?[/QUOTE
Mama Aisha, Magufuli ni kweli kaahidi lakini sio baada ya siku 50 kama anavyosema babu kizee. Ndio maana nilishasema vyuo vyetu siku hizi vina produce pumba nyingi sana mitaani. Eti we naye unaambiwa zimebaki siku 50 tatizo la ajira nchini liishe , kivipi? haelezi. Then unashangilia tu......Magufuli anasema atajenga viwanda ila sio baada ya siku 50.

Mkuu huu uzi wako wengi wanaukimbia na kujifanya hawauoni wanataka kutuaminisha kwamba ahadi za magufuli ndo zinatekelezeka ila za wengine hazitekelezeki
 
Upo mchezo mchafu wa baadhi ya wanasiasa kuwadanganya watu wenye hali za chini na wanaotafuta ajira kuwa watawapatia ajira na watawaboreshea maisha yao.

Jambo baya kwenye mchezo huo ni kuwapa watu matumaini makubwa yaliyo nje ya uwezo wa nchi yetu hata kama Obama akiletwa awe Rais wetu kwa miaka kumi hawezi kutekeleza ahadi hizo

Hivi kweli mtu anayetaka Urais aseme bado siku 50 mwenye ng'ombe wawili atakua na ng'ombe wanne? ni kweli baada ya siku 50 mwenye kibajaji atakuwa na gari?

Kutokana na ugumu wa maisha na ukossefu wa ajira watu hawa wanakubali kwa shangwe na kuunga mkono bila kupima uhalisia wa mambo ulivyo.

Ni kweli kuna tatizo la ajira lakini ukweli ni kwamba hilo ni tatizo la dunia nzima, kila nchi inajitahidi kutatua tatizo hilo kadiri ya uwezo wa nchi hiyo, lakini siyo kudanganya watu kua bado siku 50 kila asiye na ajira atapata ajira.

Mtatumika kuwapigia debe wagombea hao, mtaandamana, mtavunjwa miguu lakini wakipata fursa ya kuingia ikulu watawasahau na kubadilisha kauli zao kwakua waliahidi vitu visivyowezekana.

Hivi umeshawahi kuona au kusikia nchi ambayo watu wake wote wana ajira? katika dunia hii ni rais gani aliweza kuwatoa watu wote wenye pikipiki hadi kumiliki magari tena ndani ya muda mfupi?

Umasikini wenu ni mtaji wao wa kisiasa, wanasema kwa ncha za ndimi zao lakini ndani ya nyoyo zao hawamaanishi wakinenacho. kuweni watulivu kisha mupembue sera kwa kuangalia uhalisia na utekelezaji wake. Najivunia kusema kuwa Magufuli ndiye mgombea bora mwenye sera zinazotekelezeka.

Nawatakia kila la heri kwenye safari hii ya kuelekea October 25, safari iliyobeba maisha yetu ya miaka mitano kama si kumi.

Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania

Acha ushabiki wa kisiasa kwani CCM walituahidi mengi sana ikiwemo maisha bora kwa kila Mtanzania yakuwapi hayo maisha bora?.CCM wameshindwa kutuambia wameyaboreshaje maisha yetu ili tuweze kuwachagua tena.Tuambie wewe kwani CCM na si chama kingine?.
 
kwan ugomvi??? watu kupeana msaada na mawazom pia kufarijiana,. sio kuongeza majungu but sory kwa kukuboa na kuwaza uchaguz
 
Wana wa Israel walikula asali na nyama toka mbinguni baada ya kukombolewa na Mussa, mwisho walichoka wakahitaji kula matango na adesi watakayolima wao wenyewe.

Hatuwezi kukubali watu wachache wasababishe tule matango na adesi wakati asali na nyama vinatiririka toka mbinguni.

Rais atakuwa Magufuli tu, wengine pigeni kelele mkichoka mtanyamaza. Jiandaeni tu kuhudhuria uwanja wa Taifa kwenye sherehe za kuapishwa tinga tinga
 
Vijana TUTAMPA KURA ZETU EDWARD LOWASSA tumechoka na haya maisha magumu na ahadi za uongo kuhusu ajira.
 
Lowassa ana vina saba vya CCM tena siyo CCM ile yawatendaji bali ile ya wabovu ya wale wanaodhani ili ufanikishe jambo ni lazima utoe rushwa au hongo. Yaani uiondoe CCM umuweke Lowassa maana yake ni kuindoa CCM safi na kuiweka CCM chakavu na mbovu zaidi.
 
Upo mchezo mchafu wa baadhi ya wanasiasa kuwadanganya watu wenye hali za chini na wanaotafuta ajira kuwa watawapatia ajira na watawaboreshea maisha yao.

Jambo baya kwenye mchezo huo ni kuwapa watu matumaini makubwa yaliyo nje ya uwezo wa nchi yetu hata kama Obama akiletwa awe Rais wetu kwa miaka kumi hawezi kutekeleza ahadi hizo

Hivi kweli mtu anayetaka Urais aseme bado siku 50 mwenye ng'ombe wawili atakua na ng'ombe wanne? ni kweli baada ya siku 50 mwenye kibajaji atakuwa na gari?

Kutokana na ugumu wa maisha na ukossefu wa ajira watu hawa wanakubali kwa shangwe na kuunga mkono bila kupima uhalisia wa mambo ulivyo.

Ni kweli kuna tatizo la ajira lakini ukweli ni kwamba hilo ni tatizo la dunia nzima, kila nchi inajitahidi kutatua tatizo hilo kadiri ya uwezo wa nchi hiyo, lakini siyo kudanganya watu kua bado siku 50 kila asiye na ajira atapata ajira.

Mtatumika kuwapigia debe wagombea hao, mtaandamana, mtavunjwa miguu lakini wakipata fursa ya kuingia ikulu watawasahau na kubadilisha kauli zao kwakua waliahidi vitu visivyowezekana.

Hivi umeshawahi kuona au kusikia nchi ambayo watu wake wote wana ajira? katika dunia hii ni rais gani aliweza kuwatoa watu wote wenye pikipiki hadi kumiliki magari tena ndani ya muda mfupi?

Umasikini wenu ni mtaji wao wa kisiasa, wanasema kwa ncha za ndimi zao lakini ndani ya nyoyo zao hawamaanishi wakinenacho. kuweni watulivu kisha mupembue sera kwa kuangalia uhalisia na utekelezaji wake. Najivunia kusema kuwa Magufuli ndiye mgombea bora mwenye sera zinazotekelezeka.

Nawatakia kila la heri kwenye safari hii ya kuelekea October 25, safari iliyobeba maisha yetu ya miaka mitano kama si kumi.

Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania

Nini hapo kinachoshindikana?wakishindwa sisimu haimanishi na wengine watashindwa,ni jambo dogo.sana hlo fikiria tu kwa haraka scandal za ufisadi unazozifahamu ni pesa ngap zimekwapuliwa,achilia mbali zile tusizozijua,hzo pesa zingeenda kweny afya,elimu bure,miundo mbinu nzuri,uwezeshaji wa jamii,kilimo na kupunguza mfumuko wa bei uliopo ss,wananchi wangesave kiasi gani hapo maana kuna huduma wasingegharamia kabisa ss mwenye bodaboda 1 hawezi kuongeza ya 2?
 
unaposema akina edo hawataingia ikulu, ina maana wewe ndiye mwenye remote control ya kuwaelekeza wapiga kura zaidi ya milioni 23 waliojiandikisha wampigie magufuli?

Inaelekea wewe upo ndani ya system na umefaidi sana kwa kipindi kirefu sana mfumo wa ufisadi unaelelewa na ccm, kwa hiyo umeanza kuweweseka baada ya kuona kuwa umma wa watanzania umedhamiria kwa dhati kutekeleza ile dhana ya mwalimu nyerere aliposema kuwa watanzania wasipoyapata mabadiliko ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm.

Unachopaswa sasa ni kutulia na kushuhudia umma wa watanzania unavyotumia 'vichinjio' vyao vya kupigia kura tarehe 25 oktoba mwaka huu,kwenye sanduku la kura kuwang'oa nyiye 'manyang'au' ambao mnaamini rasilimali zote za nchi hii ambazo mungu amezijaalia kwa nchi hii,kuwa rasilimali hizo ni halali kwenu nyinyi na familia zanu pekee!

nyang'au ni wewe na hao wezi waliokimbizwa ccm unaowaita wakombozi
 
Upo mchezo mchafu wa baadhi ya wanasiasa kuwadanganya watu wenye hali za chini na wanaotafuta ajira kuwa watawapatia ajira na watawaboreshea maisha yao.

Jambo baya kwenye mchezo huo ni kuwapa watu matumaini makubwa yaliyo nje ya uwezo wa nchi yetu hata kama Obama akiletwa awe Rais wetu kwa miaka kumi hawezi kutekeleza ahadi hizo

Hivi kweli mtu anayetaka Urais aseme bado siku 50 mwenye ng'ombe wawili atakua na ng'ombe wanne? ni kweli baada ya siku 50 mwenye kibajaji atakuwa na gari?

Kutokana na ugumu wa maisha na ukossefu wa ajira watu hawa wanakubali kwa shangwe na kuunga mkono bila kupima uhalisia wa mambo ulivyo.

Ni kweli kuna tatizo la ajira lakini ukweli ni kwamba hilo ni tatizo la dunia nzima, kila nchi inajitahidi kutatua tatizo hilo kadiri ya uwezo wa nchi hiyo, lakini siyo kudanganya watu kua bado siku 50 kila asiye na ajira atapata ajira.

Mtatumika kuwapigia debe wagombea hao, mtaandamana, mtavunjwa miguu lakini wakipata fursa ya kuingia ikulu watawasahau na kubadilisha kauli zao kwakua waliahidi vitu visivyowezekana.

Hivi umeshawahi kuona au kusikia nchi ambayo watu wake wote wana ajira? katika dunia hii ni rais gani aliweza kuwatoa watu wote wenye pikipiki hadi kumiliki magari tena ndani ya muda mfupi?

Umasikini wenu ni mtaji wao wa kisiasa, wanasema kwa ncha za ndimi zao lakini ndani ya nyoyo zao hawamaanishi wakinenacho. kuweni watulivu kisha mupembue sera kwa kuangalia uhalisia na utekelezaji wake. Najivunia kusema kuwa Magufuli ndiye mgombea bora mwenye sera zinazotekelezeka.

Nawatakia kila la heri kwenye safari hii ya kuelekea October 25, safari iliyobeba maisha yetu ya miaka mitano kama si kumi.

Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania

Sikujibu mada yako hii kwa sababu tumeaswa namna hii Mithali 26:4 soma.
 
Back
Top Bottom