Recent content by mchezo mbaya

  1. mchezo mbaya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    Hii hata mimi niliitumia na nikafanikiwa, ingawaje binti yule alitaka tuzichape kavukavu mbele ya wazazi wake kwa kuwa nilim-suprise. Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
  2. mchezo mbaya

    JamiiForums Tanzania Ufaransa imeniangusha sana

    Walistahili kupigwa hata na Morocco
  3. mchezo mbaya

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yashika Namba 4 Kati ya Nchi 10 Zenye Uchumi Imara 2022

    Mimi binafsi uchumi wangu umeimarika katika awamu hii, lakini uliporomoka vibaya katika awamu iliyopita.
  4. mchezo mbaya

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Urafiki (Dodoma - Mbeya)
  5. mchezo mbaya

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Mimi binafsi nimeongezewa 3.58%
  6. mchezo mbaya

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

    Watumishi wa umma wanategemewa na wapiga kura wengi kujikimu kimaisha kama vile wazee, wanafunzi wa vyuo na familia kwa ujumla, kwahiyo wana uwezo wa kuwashawishi wategemezi wao kubadilisha mwelekeo wa kupiga kura.
  7. mchezo mbaya

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

    Aliyebahatika kupata nyongeza ya 23.3% ajitokeze.
  8. mchezo mbaya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora mniue tu, siwezi oa mwanamke kwa mahari ya Tsh Milioni moja

    Nenda Mboka, utapata hata chotara kwa mahari ya 30,000/= tu.
  9. mchezo mbaya

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Nawatafuta Kesibe Elias, Ahazi Mwakatobe, Kibosi Joachim, Kemilembe Kamugisha, Fabian Mlozi, Maria Samson Tikiti, Tusekile Anangisye, Lilian Ndomba, Good Tarimo, Nolasco Mkole, Alfa Ntayomba, Gena Jabiri, Maria Samson, Hamisi Selemani Lieme, Kamote Bakari, Paul Mwanda, Iluminata Constantine...
  10. mchezo mbaya

    JamiiForums Tanzania Bado Rais Samia haja-calculate mshahara

    Inatamkwa Mara kwa Mara kuwa jamaa alishusha uchumi wa nchi. Lakini genge lile linamsifia kwa nguvu kubwa.
  11. mchezo mbaya

    JamiiForums Tanzania Bado Rais Samia haja-calculate mshahara

    Ni bora huyu ambaye amepandisha vyeo/madaraja baadhi ya watumishi na kuwarekebishia mishahara yao na kisha kutoa ajira mpya. Kasema "lile jambo lipoo".
  12. mchezo mbaya

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha ana chuki binafsi juu yangu, hatua gani ifuate?

    UKIWA MSUMBUFU, Mnoko, mkuda NA MBABE KWA WAFANYAKAZI WA CHINI YAKO LAZIMA UCHUKIWE TU. KWA KUWA WATAKUWA WANAKOSA AMANI KILA WAKIKUONA. Tuwe viongozi wenye busara, inasaidia hata kupunguza maadui.
  13. mchezo mbaya

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

    Nilikuwa nachaji simu yangu kwa wasiwasi wa umeme kukatika kabla haijajaa lakini namshukuru mungu chaji imejaa kabla umeme wa TANESCO haujakatika.
  14. mchezo mbaya

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMB, Naomba mnipe ufafanuzi kuhusu huduma yenu nzuri ya salary advance. Mimi ni mtumiaji mkubwa wa hii huduma na nikiri kuwa inanisaidia. Lakini tatizo ni kwamba ndani ya hii miezi mitatu naona kuna mabadiliko hasi kwangu, yaani mmenipunguzia kiwango wakati mshahara wangu umeongezeka kutoka...
Back
Top Bottom