Recent content by Mcheza Karate

  1. Mcheza Karate

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwita jini na kumuamrisha unavyotaka awe rafiki, mpenzi au msaidizi

    ni mada nyingne hyo, nimeombwa mara kadhaa nifanye hivyo. nitaweka nikipata nafasi.
  2. Mcheza Karate

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwita jini na kumuamrisha unavyotaka awe rafiki, mpenzi au msaidizi

    ha ha ha ha, mkuu umewaza mbele sana.
  3. Mcheza Karate

    JamiiForums Tanzania Vipi mshahara wa November?

    ndugu Mbingo daima huwa wa kwanza kuleta mada ya kuuliza mshahara, huna SIM BANKING?
  4. Mcheza Karate

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwita jini na kumuamrisha unavyotaka awe rafiki, mpenzi au msaidizi

    ulitaka tuwe nyuma kwa vyote mkuu?
  5. Mcheza Karate

    JamiiForums Tanzania Spencer Lameck pole sana na hongera sana

    Kwani alikuambia anataka ukuu wa wilaya?
  6. Mcheza Karate

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwita jini na kumuamrisha unavyotaka awe rafiki, mpenzi au msaidizi

    swali la kitoto, sidhani kama ni swali sahihi.
  7. Mcheza Karate

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumuona mchawi kama wewe si mchawi kwa kutumia limao

    hapana, ila unapaswa kuwa na uangalizi wa ziada
  8. Mcheza Karate

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumuona mchawi kama wewe si mchawi kwa kutumia limao

    isizame yote, that was what i meant
  9. Mcheza Karate

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumuona mchawi kama wewe si mchawi kwa kutumia limao

    Wengi huita uchawi, ulozi, ushirikina. Una majina mengi sana. Ni sayansi ya kiafrika na ya kufikirika zaidi kama hujawahi kukutana nayo. Wengi huwa wanajiuliza, inawezekana vipi mtu akamwona mchawi huku yeye si mchawi? Ni rahisi sana. Ni elimu kama ilivyo na ktk jitihada zangu za kusaka...
  10. Mcheza Karate

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    kuna kundi la wachawi huwa wanakuja kukudhuru ila huwa wanashindwa.
  11. Mcheza Karate

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    noti au sarafu? Maana zina maana tofauti
  12. Mcheza Karate

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    yote yanayotukia ktk maisha hutanguliwa na ulimwengu wa roho, uotacho ndicho hutokea au dalili ya kinachofanyika ktk ulimwengu wa roho
  13. Mcheza Karate

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    kuna watu(wachawi) walichukua sauti yako kimiujiza.
Back
Top Bottom