Recent content by mchedo

  1. M

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Nyalandu kawapagawisha hao watu, na wamepgawa kweli.
  2. M

    Mwanahabari Jerry Muro ahoji uhalali wa tume ya Mhe. Nape Nnauye

    Jerry ni ww kweli au umepatwa na nn? Au unawania uteuzi? Tunakujua jerry pengine kuliko unavodhani.
  3. M

    Nape Nnauye kuongea na wanahabari

    Nakupongeza nape kwa ujasiri. Hii ni fulsa ya kujitambua zaidi. Tungekua na misingi imara tangu mwanzo Leo tungekua tunaheshimu sheria. Ww ni mmoja wa watu ulioshabikia sana bunge lisioneshwe laivu na kutetea kwa nguvu zote. Leo unayaona madhara yake. Tafakari na usimame kua imara kutetea...
  4. M

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Hii inaonesha hata kamati iliyotumwa na speaker clouds ni upuuzi kwa Mkulu. Imani imebaki kwa bunge sasa. Wabunge wanapaswa kua strong na wamoja ktk kuisimamia na kiwajibisha serikali, otherwise tunapokwenda ni ubabe usio heshimu utawala wa sheria.
  5. M

    Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Ishu sio kujiuzulu au kutojiuzulu. Nape asimame kwenye kweli, na hiyo kweli itamuweka huru. Atabaki na amani ya nafsi na tasnia ya habari itakua na amani.
  6. M

    Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Nakupongeza Nape kwa hatua uliyochukua kama Waziri mwenyewe dhamana. Mungu akubariki kwa hata hiyo. Mengi utaambiwa na kushauriwa kama ambavyo nakwambia mimi Leo. Ushauri wangu kwako, ni kwamba kusema kwako kweli wa jambo hilo la mkuu wa mkoa wa Dar, utakuweka huru. Utabakia shujaa machoni pa...
  7. M

    Rais Magufuli ashiriki ibada ya Jumatano ya majivu Mt Petro

    Na iwe toba kweli, ktk kutenda haki.
  8. M

    Huu ndio msimamo wa Rais Magufuli juu ya vyeti feki

    Kama marehemu Kabwe huko alipo anamuona vile makonda anavohangaika!!
  9. M

    Baada ya Audio kuvuja, Tunda Amlipua Steve Nyerere

    Mpuuzi sana huyu jamaa. Anasema walilipwa... Hivi yote hayo anayoyaongea huyu Steve ni kwa sababu amelipwa... Shame on you Steve. Umetuaibisha wanaume.
  10. M

    Ushauri kwa Mange Kimambi

    Mbona imekaa kimbea hii. Hebu tafuteni mahali pake hii post. Mnaboa. Great thinker hawafanyi Hivi. Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  11. M

    Tundu Lissu ahojiwa kwa kumwita Rais Magufuli "Mtakatifu". Aachiwa...

    Eti asiye na hatia mbelecya mungu na wanadamu. Shikamoo lisu!!! Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  12. M

    Kuanzia Januari 2016 wasanii kulipwa na Redio na Televisheni zitakazotumia nyimbo zao

    Mkuu hizo nyimbo za nje unazosema itakua gharama kubwa, nani atakua analipwa?
  13. M

    Tujiulize Pamoja! Ni Coincidence au MUNGU Ameongea?

    umekaa kimbea sana. sijui hata kama unaelewa maana ya Coincidence.
  14. M

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Huu ufafanuz haukuwezekana miaka 8iliyopita? Sio agenda kwa sasa
  15. M

    Hotuba ya Kikwete imeharibu kabisa ufungaji wa kampeni za Magufuli

    Swali tu: hivi raisi kikwete, yeye kama raisi wa nchi anavolalamika kua richmond ni lowasa, kafanya nn kama mkuu wa nchi kuhusu hilo jambo? Jambo lililogusa taifa, afu yeye anakuja kutueleza leo, akilalamika. Anataka sisi wananchi wa kawaida tujifunze nn?
Back
Top Bottom