Recent content by MCHAWI

  1. M

    Mwenyekiti UVCCM Mara ang'atwa jicho na mmiliki wa Regency Hotel

    Jana mida ya saa saba usiku kulitokea ugomvi kati ya wateja wawili wa regency hotel ambao mmoja wao ni mwenyekiti wa UVCCM mara aitwae Sango Kasera. Sababu ya ugomvi ni mteja huyo mwingine kuligonga gari ya Sango likiwa lkimepark na hivyo Sango kutaka alipwe gharama za uhalibifu huo. Kumbe...
  2. M

    Peter Serukamba waziri mkuu mtarajiwa wa 2015

    Wewe ndiwe hujui kuwa hii thread ina karibu miaka miwili hapa unalipuka tu
  3. M

    Lema: Sitapeleka ushahidi wangu uchochoroni tena!!

    a Sued Kubenea mhariri wa gazeti lililokuwa likiitwaga Mwanahalisi ndio aliemkabidhi Mabere Marando simu mbalimbali za watu wanaowasiliana na viongozi....Kubenea katika kumpa simu hizo alikosea badala ya kuweka simu ya Jack Zoka akawekaya Zitto kabwe jambo ambalo limesababisha ugomvi mkubwa kati...
  4. M

    CHADEMA waibua kero za upendeleo katika mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    a Sued Kubenea mhariri wa gazeti lililokuwa likiitwaga Mwanahalisi ndio aliemkabidha Mabere Marando simu mbalimbali za watu wanaowasiliana na viongozi....Kubenea katika kumpa simu hizo alikosea badala ya kuweka simu ya Jack Zoka akawekaya Zitto kabwe jambo ambalo limesababisha ugomvi mkubwa kati...
  5. M

    Mkutano wa CHADEMA uzinduzi wa Kanda ya Kati wahamishwa kiwanja!

    a Sued Kubenea mhariri wa gazeti lililokuwa likiitwaga Mwanahalisi ndio aliemkabidhi Mabere Marando simu mbalimbali za watu wanaowasiliana na viongozi....Kubenea katika kumpa simu hizo alikosea badala ya kuweka simu ya Jack Zoka akawekaya Zitto kabwe jambo ambalo limesababisha ugomvi mkubwa kati...
  6. M

    Vijana, msifanye makosa kama niliyofanya. Kujiunga na CHADEMA ni sawa na kucheza karata tatu!

    a Sued Kubenea mhariri wa gazeti lililokuwa likiitwaga Mwanahalisi ndio aliemkabidha Mabere Marando simu mbalimbali za watu wanaowasiliana na viongozi....Kubenea katika kumpa simu hizo alikosea badala ya kuweka simu ya Jack Zoka akawekaya Zitto kabwe jambo ambalo limesababisha ugomvi mkubwa kati...
  7. M

    Peter Serukamba waziri mkuu mtarajiwa wa 2015

    Hapa umejaa wivu tu hakuna la ziada
  8. M

    Filikunjombe aagwa na mzee anayetaka kufa baada ya kushuhudia Ludewa kupata Mkombozi

    haya ndio majungu yenyewe si kweli Pindi alisaidia upinzani kushinda bali jamaa hakubaliki kihivyo mnavyozani nyie
  9. M

    Filikunjombe aagwa na mzee anayetaka kufa baada ya kushuhudia Ludewa kupata Mkombozi

    Hii inaonyesha jinsi jamaa alivyokuwa hajatembelea jimbo lake kushukuru mpaka miaka miwili imefika kabla ya uchaguzi ndio anamuona huyo mzee hata sijui hayo maendeleo alikuwa anayakagua vipi hapo
  10. M

    Waziri Nchimbi anaposema waliofanya uharibifu ni wahuni... Anajaribu kupoteza ukweli?

    kwa mara ya kwanza kwenye thread hii nimekukuta mtu ulieweza kuelewa mada ya nchimbi ilikuwa inasema nini.......na pia wako waislam wengi sana ambao hawaungi mkono kilichotokea kwa namana yeypte ile na wanajisikia aibu kwa fujo hizo....ni makosa sana kuwajumuhisha waislamu wote kwa matukio haya...
  11. M

    Peter Serukamba waziri mkuu mtarajiwa wa 2015

    Ulinzi kwa MH Lowasa umeongezeka zaidi kiuliko hapo awali hasa wakati wa bunge la mwisho wale ambao tulienda kumsalimia nyumbani kwake mara zote mh akiwa anahitaji aongezewe whisky basi peter serukamba aliluwa akiwahi jikoni na kuja kummiminia kwa kasi ya ajabu hata dada Tatu yule muhudumu...
  12. M

    CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

    Nikipiga picha na ile suruali ya Slaa ya cadet anakuwa kama kajiharishia na mbio hahahahhhhahhahah chadema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  13. M

    Ally Bananga: Nafikiria kutangaza nia kuwania Ubunge Kinondoni

    Kweli chadema mmeishiwa huyu bananga hata vidudu hakumaliza leo ndio anakuwa mgombea wenu na tena hapa dar hata hana makazi ya kuishi kwa mara ya kwanza aliletwa na Millya hapa mjini
  14. M

    Huyu ndiye Freeman Mbowe wa CHADEMA

    na kuongea sio kutawala na ndio maana leo hatuwezi kumweka mrisho mpoto kuwa rais wetu
  15. M

    Mhariri Mtanzania: Kwa siasa za shari, CHADEMA kinajifuta; marehemu alikuwa akiifanyia kazi CHADEMA

    Nimepitia kwa makini sana michango yenu yote hapa mliotoa ambapo inaonyesha labda kwa uelewa mdogo au ukanjanja wa wachangiaji wa hapa kwa kiwango cha kuambiwa kuwa haya maelezo ypte ni maoni ya mhariri wakati haya ni mawazo ya mchangaiji wa habari yani mzee yusuphu halimoja......Halimoja...
Back
Top Bottom