Recent content by Mchawi mwandamizi

  1. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania KWELI Paka huchochea Pumu

    Kuna uvumi sugu kuwa paka siyo wazuri Sana kiafya kwetu kwa kuwa MANYOYA yao husababisha pumu.... Ni Nani aliwahi pata pumu kwa kujiweka karibu na paka? Jamiicheck tuambieni hapa ,NI kweli MANYOYA ya paka huweza kuleta pumu?
  2. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuna nyoka anawika kama jogoo

    Zipo stori kongwe kuhusu nyoka aina ya koboko kuwa kuna muda anawika kama jogoo. Hii ni kweli?
  3. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Nyoka aking'ata huacha meno na anapoteza uwezo wa kung'ata tena

    Soma majibu ya jamiichek
  4. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania I am depressed. Naombeni ushauri

    Depression? Mishahara laki8+m ara m 2.3? Mtaji wa biashara mnataka utoke nje ya familia,Tena kwa kuazima...wanawake mnakuwaga wabinafsi sana,sasa usiombe huyo mumeo awe kashagundua huo ubinafsi na kuukatia tamaa kuwa kwa ubinafsi huu hatutofika popote...anasubiri tu useme tuachane,akujibu kwa...
  5. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Nyoka aking'ata huacha meno na anapoteza uwezo wa kung'ata tena

    Kuna Imani kuwa nyoka huuma na kuacha meno yake kwa muhanga wake. ...ifahamike meno ndo silaha kuu ya nyoka,katika kujitafutia chakula na kujilindA...Asilimia kubwa ya watanzania wanaamini hivyo kuwa nyoka akikuuma anakuachia meno ambapo inakubidi uyatoe haraka kabla madhara hayajawa makubwa...
  6. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye amtabiri mshindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa bila goli la mkono

    Kwamba kura halali ndo zinaamuaga mshindi? Kwenye tume iliyoteuliwa na Nani? Tena wa itikadi gani ya kisiasa?? Kuwa serious basi, nchi za watu zimee ndelea baada ya kuacha usenge usenge kwenye michakato muhimu kama uchaguzi. .... UNAINGILIWA SI BURE.
  7. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

    Quran ni ya kukariri siyo kuelewa
  8. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi akamatwe, Maria Space ifungiwe

    Sufiani, be you, uchawa haujawahi kuwa na mwisho mzuri, uchawA umepelekea vijan wengi sanA wapelekewe Moto.
  9. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Nimetembea mikoa mingi Tanzania nimegundua kuwa Dodoma kuna nyoka wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania

    Fika wilaya ya chemba Mkuu,katika vichaka na mapori yake
  10. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Pia umesahau kuwa waislamu wanna mkono mwepesi,ukiuchallenji kidogo tu uislamu basi tarajia ngumi ya uso au kumwagiwa laana kwa lughA ngeni.
  11. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Adam na Hawa walikuwa watanzania wenye asili ya kimasai

    Hakuna namna ya kuniambia kuwa Adam na hawa hawakuwa watanzania. Picha linaanza, huko bonde la olvai (umasaini) ambapo Dr. Leakey aligundua fuvu la kichwa cha binadamu wa kale zaidi (Kama sio la Adam basi la hawa). Na tunafundishwa mashuleni kuwa habari kuhusu fuvu hilo ni za kweli. Hivyo basi...
  12. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Muziki wa Reggae

    Peter tosh - epual rights _mama Africa -jah say no -reruiting soldiers -mystery Babylon Senzo -rasta wake up -great concueror -let there be love -i'll be there -whos gonna care
Back
Top Bottom