Recent content by Mchange

  1. Mchange

    Kutekwa kwa Mohammed Dewji: Ni uharamia wa kimataifa?

    Mohamed Dewji Liyaqat Parker Mfanyabiashara maarufu nchini Afrika ya kusini aliyetekwa na kuachiwa baada ya kulipa Randi milioni 3.4 Na. Habibu mchange Leo Oktoba 11 mfanyabiashara maarifu nchini Tanzania Mohamed Dewji ametekwa na watu wasiojulikana katika hotel ya Collosium ambapo...
  2. Mchange

    Tumuamini Nani, Chadema Au Zitto Kabwe?

    Umeelewa sasa?.... Kwamba hoja wanayoitumia Makamanda haina tena mashiko Kuwa kigeugeu sio tena issue kwani Chadema wameonyesha ugeugeu kwa vitendo
  3. Mchange

    Tumuamini Nani, Chadema Au Zitto Kabwe?

    Wameacha kujadili hoja zangu wananijadili mimi
  4. Mchange

    Tumuamini Nani, Chadema Au Zitto Kabwe?

    Kwa kipindi cha siku kadhaa sasa tumekuwa tukishuhudia maneno makali kutoka kwa wanachama na viongozi wa Chama cha CHADEMA kwenda kwa kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO ndugu Zitto Kabwe. Njia mbalimbali zimetumika kufikisha mashambulizi hayo huku mitandao ya kijamii ikishika hatamu sambamba...
  5. Mchange

    Rais, Magufuli ingilia kati vita dhidi ya dawa za kulevya

    VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA. ---------------------------------------------------------- Kwako Rais John Pombe Magufuli, Waziri Wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba na Viongozi wengine waandamizi wa serikali. Watumiaji wakuu wa Dawa za kulevya za aina zote hapa nchini ni watanzania...
  6. Mchange

    Ole Sendeka, walipeni Uhuru mishahara kwanza, achaneni na Zitto na Lowassa

    muhimu CCM kujifunza kufanya siasa za hoja sio vioja.
  7. Mchange

    Ole Sendeka, walipeni Uhuru mishahara kwanza, achaneni na Zitto na Lowassa

    Nimesikiliza Video inayosambaa kwa Kasi Mtandaoni inayomuonyesha Karani na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka akiwatuhumu Edward Lowassa wa CHADEMA na Zitto Kabwe kiongozi wa chama wa ACT WAZALENDO. pamoja na kumsikiliza zaidi ya mara tatu lakini sipata kuelewa alikuwa anajaribu kumaanisha...
  8. Mchange

    Rais Magufuli, tukalime wapi? Tupeni mashamba tukalime

    Hahahahah. Tuvumiliane tu
Back
Top Bottom