Recent content by MCHAMBUZI WA TAIFA

  1. M

    Serikali (TAMISEMI) wafanyieni walimu Interview kabla ya kuwapost vituoni...

    Kwa sisi wabobezi na magwiji katika sekta ya elimu tukiona mtu anaanza kuzungumzia masuala ya ufundishaji basi suala la kwanza kumuuliza what is teaching ? Akijibu hapo ndo tunaanza kujadiliana naye kuhusu teaching na teacher kwa ujumla. Teaching is COMPLEX AND DYNAMIC PROCESS WHICH REQUIRE...
  2. M

    Msaada wa jinsi ya kwenda Marekani nimepata mchumba huko

    Mkuu ni magroup ya kitaaluma huko mitandaoni
  3. M

    Msaada wa jinsi ya kwenda Marekani nimepata mchumba huko

    Nilimuuliza kuhusu kuandika barua akasema haina tatizo kwake
  4. M

    Msaada wa jinsi ya kwenda Marekani nimepata mchumba huko

    Maendeleo hayana vyama nitaliwakilisha vyema taifa
  5. M

    Msaada wa jinsi ya kwenda Marekani nimepata mchumba huko

    Habari Wakuu. Kichwa wa habari kihusike hapo juu. Nilifanikiwa kupata mpenzi ambaye ni raia wa Marekani na kazi yake ni mwalimu na tulikutana mtandao kwenye group la masuala ya elimu ya watoto Kutokana na kuchangia kwangu katika kundi hilo nikiwa mtanzania pekee ,kuna siku nilipost taarifa ya...
  6. M

    Meya wa jiji la Tanga ametia aibu ya kuanzia mwaka

    Katika taaluma ya ualimu kuna kozi inaitwa pedagogy in teacher education ambayo inaelezea ualimu kiundani sana na inasema kuwa Teaching is complex and dynamic process which require deep and wide knowledge to understand and explaining it. Hivyo huyo meya wa Tanga na wajinga wengine wenye tabia...
Back
Top Bottom