Jamani wana JF nisaidieni ushauri.
Sisi tulizaliwa 7, wavulana 3, na wanawake 4.
Bahati mbaya wazazi wetu wote walishatangulia mbele ya haki.
wavulana wote wameoa na wasichana wameolewa.
Kwa upande wetu sisi 7 tunapendana. Kwa wasichana huwa tunatembeleana, tunasaidiana, kwa kifupi tuko...