Recent content by mchaichai

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi Supermarket wafunga biashara Tanzania na Uganda

    pale moshi uchumi supermarket iko katika jengo jipya la NSSF mkabala na ofisi za manispaa ya moshi palipo kuwa zamani ofisi za red cross
  2. M

    JamiiForums Tanzania Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

    chama cha masisim kifie mbali huko kwani sheria kama hizi zinatusaidia nini. utatoaje zawadi ya wanyama wa umma? tena huyu mtu anayetetea huu uovu ni vizuri akaacha kabisa maana sasa naona maslahi binafsi yanataka kuuwa kabisa nchi. mnajua tunakwenda kubaya sasa tunashabia hata mambo yasiyo na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    lowassa
  4. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    lowassa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yawarubuni watumishi wa umma

    hata kama wakiongeza millioni shida yetu si hela kwa sasa shida yetu ni mabadiliko ya mfumo na chama kipya ikiambatana na kurudisha mapendekezo yote ya rasimu ya ya pili ya maoni ya katiba ya Jaji Joseph Sinde Warioba ahsante kama kinawauma wazichukue maana hela ni za umma si za viongozi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania watofautiana na Kenya na Uganda, kuhusu maoni juu ya tishio linaloikabili dunia kwa sasa

    wataalam watanzania na wanasiasa hawajui wanatoka wapi na nini uhusiano kati ya mawndeleo na mazingira na tabia nchi wao wanajua tuko kodi na ufisadi na siasa ZA KUNUKA
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kikwete hakujuwa madhara ya kukata jina la Lowassa au alitiwa upofu?

    acha kufuata mkumbo ww lowasa ni mfanyabiashara mkubwa mambo usiyoyajua usiyaseme maana inaonekana hujui chochote.waonw watu wanaojui mambo ya nchi hii watakusaidia ikiwa ni pamoja na ccm waadilifu na wanaojua mambo ya kweli ya nchi hii
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amekiri kunisaliti

    Mwadada84 ni mambo ya kawaida hayo mdogoangu usiwe na waswas amefanya kosa na amejitambua na kukuri nakuhakikishia wewe tulua haturudia tena na ndoa yako itakuwa imara sana acha aende kufanya kazi hata mimi nimepata pigo kama hilo na nimetafiti kwa wenzangu takribani 6
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vina kazi kubwa

    siyo vyama vina kazi mkuu ila sote tuna kazi maana tanzania ni moja na sote nu watanzania
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    Naunga mkono hoja
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    Ndiyo maana siwapendi ccm si chama au sera zake bali watu wake.hasa wazee wake wasio na soni
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    na mimi pia it is unfair ni kwa sababu ya agenda ya siri isiyokuwa na maslahi kwa umma wa watanzaniap
  13. M

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari awadanganya wanameru kwa ambulance mbovu

    acheni umbea wa kike ametoa msaada sasa kaeni kimya kama hamna mapya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Zanzibar Kammaliza Tundu Lissu leo Bungeni

    nimesoma kichwa cha habari nikafikiri una hoja ya msingi kumbe pumba! hivi hamna aibu kuweka mawazo ya kichina humu kwenye jukwaka la thinking tankers
  15. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo imekosa sifa ya kuwa Chama cha Upinzani

    Ni chama cha zito na sisiM kwa maama nyingine ni Annex ya sisim
Back
Top Bottom