mungu yupo tu kitaeleweka mwaka huu CCM kuweni makini sana. waelezeni wananchi kile mlicho kifanya ndani ya miaka 50 nasio kutumia nguvu ya dola kuwadhohofisha watanzania. watanzania amkeni huu ni wakati wa kumsahau CCM na kumfuata UKAWA ili kujua mstakali wa taifa hili pia tujipange kuhusu...
dah sio huyo kwanza inatakiwa wahukumiwe n pia kufukuzwa kaz zote sio uwaziri tu hata ubunge na pia rais aone uchungu wa pesa hizo ambazo zingeweza kulipa madai ya walimu wote
Wewe kidogo unajua ukweli maana watu wa udsm wamekalia kuponda udom tu hawajui kwamba elimu ya hapa ni nzuri so waache waendelee na ujinga wao huo huo.
Sasa ebu angalia matokeo ya kidato cha pili ni mabaya mno pia kidato cha 4 ndo usiseme yaani shule haina 1,2,wala 3 yaan kuna 4 tena kuanzia 30 nao ni wanafunzi 7 tu walio baki ni 0.jumla walikua wanafunzi 13 tu.je shule hii itafika kweli?
kwakutokana na uhaba wa waalimu katika shule nyingi za kata hapa nchini sasa tura sekondari yakaribia kupotea katika ulimwengu wa shule za sekondari kwa kukosekana kwa waalimu wa kuiwezesha shule hiyo sasa shule hiyo ina waalimu wawili tu.je kwa elimu hii tutafika?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.