Recent content by mceglon

  1. mceglon

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana Uhamiaji Kagera Wilaya ya Karagwe wananyang'anya vitambulisho raia wenye asili ya Rwanda

    Kwa taarifa za kuaminika kutoka Kagera wilaya Karagwe inasema watu wengi wenye asili ya Rwanda wananyanganywa vitambulisho hata kama watoto wamezaliwa hapa na wazazi wao wamezaliwa hapa nchini! Jamani hiyo taarifa imekaaje kwa nyie mnaojua tujulishane. Pia naombeni tujiepushe matusi kwenye...
  2. mceglon

    JamiiForums Tanzania Pwani: Viongozi 24 wasakwa kwa kuuza Shamba la Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Kiukweli pwani inayo maeneo makukwa mengi hayana maendeleo yoyote na pia yana hali mbaya ya misitu, sasa watu kama wamevamia eneo na halijapimwa halina hati miliki basi wajilaumu wenyewe wizara na serikali, wizara ya uvuvi na mifugo mnamilikije eneo lisilokuwa na hati miliki? Na je wakazi...
  3. mceglon

    JamiiForums Tanzania Reymac Aluminium & Upvc

    Sijakuelewa vizuri kiongi wangu naomba unieleweshe zaidi niweze kujibu kufasaha.
  4. mceglon

    JamiiForums Tanzania Reymac Aluminium & Upvc

    Silver ndio inaonekana kama sufuria, kama kuna ya namna hio iliopakwa rangi basi hio ni fake
  5. mceglon

    JamiiForums Tanzania Reymac Aluminium & Upvc

    Ok maana ya double glass ni kwamba dirisha linakua na vioo 2 vimeunganishwa kwa pande zote mbili kati kati ndio unakuta kuna na maua, single ni kioo kimoja tu mara nyingi kioo kimoja huwa akina maua. Hivyo basi dirisha likishakua na vioo viwili tayari gharama hio tofauti na kioo kimoja
  6. mceglon

    JamiiForums Tanzania Reymac Aluminium & Upvc

    Kwa double glass ni 150,000 @ m² Single glass ni 120,000 @ m² bei yake ni hio ikiwa ya blonze ndio bei inapungua ila nyeupe bei ndio hio. Asante
  7. mceglon

    JamiiForums Tanzania Reymac Aluminium & Upvc

    100mm
  8. mceglon

    JamiiForums Tanzania Reymac Aluminium & Upvc

    Habarini, wanaohitaji aluminium and upvc madirisha, milango hata profile dar es salaam na nchi nzima kwa bei rafiki kama 1. Upvc kwa (m²) yaani square meter 170,000/= 2. Aluminium kwa (m²) square meter ya single glass 120,000/= 3. Aluminium kwa (m²) square meter ya double glass 150,000/= 4...
  9. mceglon

    JamiiForums Tanzania Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika

    👏👏👏👏👏✌✌✌✌✌✌
  10. mceglon

    JamiiForums Tanzania Nimewakubali viongozi wa UKAWA! Kwa ujanja huu wanastahili pongezi

    Lowassa oyeee
  11. mceglon

    JamiiForums Tanzania Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Vijisenti unauza nchi yako twaweza umeongwa ndugu zangu hii haibu kabisa kabisa ila wewe ndo tutakutafuna wakwanza 25 tareh
  12. mceglon

    JamiiForums Tanzania Imeniuma: Alikiba aeleza kusikitishwa kwake

    Nenda ccm wakusaidie ------ wewe unamwambia nani huna maaana kabisa
  13. mceglon

    JamiiForums Tanzania Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Uchaguzi bado lowassa oyeee
  14. mceglon

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
  15. mceglon

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Hizo zako sasa subiri zetu ifikapo tarehe 25 utajua tu lowasssa oyeeee
Back
Top Bottom