Recent content by MC

  1. M

    BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Nitaisikiliza hotuba mwanzo mwisho; asipotatua swala la kina Mzee Mdee na Covid-19 wenzake, nitasikitika sana
  2. M

    Askofu Mwamakula ana msaada gani kwa CHADEMA? Mbona kama hamna anachowasaidia, kwa ujumla hana political influence

    Mimi amenishawishi; na nafaham alimeshawishi wengi; wakati wa Kampeni aliutumia muda aliopewa vizuri; alionyesha upeo mkubwa wa kuelewa Watanzania wanataka nini
  3. M

    Viwango vya furaha duniani: Tanzania yashika nafasi ya 153 kati ya 156

    wenzio wamefanya utafiti; wewe endelea kuamini ni 'kisiwa cha amani'
  4. M

    Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

    Kununua hakuwasaidii kitu CCM, kunaongeza chuki mioyoni mwa watu; itakuja kudhihilika mbeleni; ni swala la muda tu
  5. M

    Hapa Ndipo waziri wa Mambo ya Ndani Lugola anaweza kuangukia pua!

    Hiki ndicho nilichoona na ku-waza mara tu baada ya kusikia habari hizi; ZZK is very strategic. Mwituni kuna mnyama mkubwa sana mwenye manguvu, na anambio; lakini kwa sababu ya ukubwa wake na 'rigidity' hawezi kukata kona ghafla; ukikutana naye akakukimbiza cha kufanya ni kukimbia na kumpiga...
  6. M

    Jeshi la Polisi: Tunafanya kazi kwa weledi na misingi ya sheria! Tumefungua upelelezi dhidi ya Zitto, tukimuhitaji tutamuita

    Tanzania inaudhi sana sasa hivi; yaani watu wanapenda 'tuishi' kama tuko kwenye debe katika kipindi hichi cha utandawazi
  7. M

    Mbeya: Abiria zaidi ya 40 wanusurika kufa baada ya Basi kutekwa na watu wasiojulikana

    He he heeeee he hee; kuna jamaa yangu siku moja alikuwa anatupa story za kujisifia ujasiri wake, kwamba yeye ni jasiri sana hata kwenye giza nene akikutana na kitu chochote anapambana............; nikamuacha kama dakika kumi hivi tukiwa kwenye kichochoro flani nikamshtua .......... Nyoka huyo...
  8. M

    Hivi Rais Magufuli ametingwa sana kuliko wenzake wote wa nchi za SADC?

    Good analysis, waBongo walivyo wavivu kusoma watakwambia ni andiko lefu, ila kwenye Udaku wanasoma mpaka nukta
  9. M

    Makonda amuomba ruhusa Rais Magufuli awashughulikie wote wanaoikosoa Serikali. Mnatakiwa kupongeza na kusifia TU

    Sasa hao Wazee Wastaafu waliitwa kutoa ushauri, wakatoa; ina maana walipoteza tu muda wao?. Kauli kama hizi zinaifanya CCM ichukiwe pamoja na uongozi wake.
  10. M

    UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

    matokeo yalipokuwa 96% hukusema uzi ufutwe; leo matokeo 55% unasema uzi ufutwe; bado kuna miaka mbele...... siku yakija 25% utasema JF ifutwe wakati wao sio waliotafiti
  11. M

    UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

    Nimependa sana coments za Ulimwengu, kwa kawaida binadamu hataishi kwa mkate tu, uhuru wa kifikra na kimtazamo ni muhimu sana. Tanzania haiwezi kuendesha mambo yake in 'isolation', lazima ipambane na nchi nyingine duniani katika kujiletea maendeleo kwenye wakati huu wa utandawazi, kitu muhimu...
  12. M

    Zitto amnanga Polepole: Kiongozi huwaza kizazi kijacho na mwanasiasa huwaza Uchaguzi ujao

    Nakubaliana na wewe 100% Kuelekea Christmas mwaka jana nilisafiri kwa Barabara tokea Entebe-Uganda kupitia Mtukula, Bukoba, Nyakanazi, Kibondo, nikapandisha kwenda Manyovu kupitia Heru/mnanila. Kisha nikaunganisha kuja Dar kupitia Uvinza, Tabora, nzega..... kwa kuwa nilipafaham Kigoma siku...
Back
Top Bottom