habari,nyeto sio jambo jema sana,linaharibu maisha yako ya mapenzi ya siku za usoni.Wakati mwingine unaweza ukawa unasali sana lakini hali hii ya kupiga nyeto isiondoke,dawa ya mwili ni mwili,fanya mazoezi ya kutosha,acha kuangalia picha za ngono au kupiga story za ngono.Kila jambo na wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.