Recent content by mc kafwenda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

    1.Kwan ww umetumwa na nan kufatilia maisha na interest za MTU??? 2.Unapata faida gn ukimchafua??? 3.Lengo ni nn hasa??? 4.Unalipwa na nan pia??? 5.Kwann umetumia muda mwing kumfatilia mwenzako????
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete jiuzulu uenyekiti wa CCM

    Katiba ya chama inasema miaka mitano,,,,na Jk uenyekiti ameupata awam ya kwanza 2007,,,,awam ya pili 2012 hvyo ht Jpm ataupata Uenyekit 2017 km katiba ya chama inavyosema Swali kwako ww mshabk hv mwaka ule mbowe anagombea urais angeupata angetoka kwenye uenyekiti au angesubir muda Wa kikatba ndo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM waliposhangilia kulamba matapishi yao

    Unaongozwa na ushabiki hamn unalolijua kuhusu siasa
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Kifo nipo hakiepukiki,,,,lkn je hv kila mwanasiasa ni mtu safi nje ya siasa??? Lkn pia hv kila inapotokea kfo cha mtu anaejihusisha na siasa na hasa cha kusababishwa na shambulio la mwili inakuwa direct shambulio hilo ni LA kisiasa??? Mawazo alikuwa binadam km wengne waliopo na walio...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Swali la Kimantiki: CCM wamuue Alphonce Mawazo kwa sababu zipi hasa?

    Hahahahahaha! Na pia km tutaendelea kulazmisha mambo yawe km tunavyotaka na kukataa yalivyo kwa sababu tuuu upande unaouhitaj unaona umeelemewa au uko chin kiuwezo hatutafka mbali Nchi ya ahad kwa kuzusha mambo ,,bila ya kutafuta chanzo na kutazama mazingira ya tukio,,, tutaendelea kuwa wabebaji...
Back
Top Bottom