Recent content by Mc juliana lema

  1. M

    Mwanamke mwenzangu, Je ni lini mara yako ya mwisho kuangalia utupu wako?

    Uchi UNATISHA jaman asikuambie m2 kuna zingine nyeupe na nyororo ila kwa wale wanene na wenye mihips duu wapo ndani BLACK list
  2. M

    Tabia gani ambayo mpaka leo wajuta kuianza

    Kunyonya kidole mi cjui ilitokea automatical jaman kuacha cwez hata uniwekee pili2 ntakinyonya mpk nasahau hata uteme kohoz ntasafisha mpk niridhike kabisa ntakiingiza mdomon ila 2 nimeacha kunyonya mbele za wa2 kuna ambao wananifumaga nackiaga aibu nisaidien woote
  3. M

    Usafi ukeni - Sharing is caring

    Uke unajisafisha wenyewe kuna bacteria wamewekwa special kwa ajili ya kuulinda uke wa mwanamke unapoingiza kidole kumbuka kile kidole kina bacteria wa hatari unaenda kuwaua wale bacteria walioumbwa kwa ajilii ya uke au unapopaka sabuni au gel unawaua bacteria, ndivyo mungu alivyotuumba jaman na...
  4. M

    Mpenzi wangu ameathirika,nipeni ushauri nifanyaje ?.

    Kwa jinsi navyoelewa mimi, kama mlienda kupima mmoja wenu kakutwa na virusi vya ukimwi, kuna ushauri ambao lazm mpewe kama wapenzi au wanandoa jinsi ya kuishi pamoja, kuna vidonge ambavyo huyo muathirika anatakiwa anywe ili kupunguza makali ya maambukizi ya ukimwi wapo wa2 wanaishi pamoja miaka...
Back
Top Bottom