Kwa jinsi navyoelewa mimi, kama mlienda kupima mmoja wenu kakutwa na virusi vya ukimwi, kuna ushauri ambao lazm mpewe kama wapenzi au wanandoa jinsi ya kuishi pamoja, kuna vidonge ambavyo huyo muathirika anatakiwa anywe ili kupunguza makali ya maambukizi ya ukimwi wapo wa2 wanaishi pamoja miaka mingi kwa upendo 2 na furaha coz kila m2 amekubaliana na hali ya mwenzake wewe ukikubaliana na hali ya mpenzi, na ukisonga mbele ukiamini kuwa ulimpenda kwa dhati hata mungu atakusaidia utaupata huo ukimwi halafu utakuwa Bonge la binadamu mwenye heshima zakee hata huyo mpnz wako atakuheshimu