je mfanya kazi mwenye mshahara ya 1m kwa mwezi atatoa 100k au atasubir kwanza akate gharama zote alizoingia katika kufanya io kazi mfano nauli kwenda ofisini, chakula akiwa ofisin nk atoe asilimia 10 ya bakaa itayobaki? naomba unijibu mkuu
mwizi hana haki mzee ndio maana mtaani huku tukikamata mwizi kaiba simu tunaichukua hio simu alafu tunampiga na kumchoma moto anauawa, huyo dogo tayar ni mwizi kwa nn mnampa haki ya kurudishiwa hela yoyote?? sasa maisha yangekuwa marahisi ivyo kila mtu si angekuwa anaiba akikamatwa analipa alafu...
ndo dawa yao wangese kama hao kamata binya pumbu mpaka atasema hela zilipo nenda beba hela zako na za usumbufu alafu achana nao waswahili hawaaminiki kabisa hakuna kusikiliza story ya mtu wewe deal nao kibabe tu watakuheshimu huruma huruma wanakufilisi
hawa waswahili wangese sana ndio maana yanakufaga masikini yaani ww unaleta masihara na biashara za wanaume unapelekewa moto unakuja kulialia huku jf wakati mmemuibia salah hela zake mnakula bia na kununua marange mlikuja huku kuomba ushauri??? mafaken kabisa wangese wa namna hii ni kupiga tu...
bernardo portugal anacheza chini anahold mpira na kukaba wala sio mtu wa kupiga penetration passes akiwa portugal, hao wote uliowataja hakuna hata mmoja wa kucheza possesion football portugal wanamtegea sana bruno kupiga killer passes kwenye spaces na ndio silaha yake kubwa na ili aweze kufanya...
Spain na viungo wake wameshindwa kuifungua morocco sembuse portugal?? unajua mtiti wa busquets, pedri, na gavi kwenye kufungua njia wewe? morroco akiingia game ya portugal akikaa nyuma mechi inaisha bila portugal kupata goli ata moja, portugal anastruggle sana akicheza na timu zinazoweka low...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.