JF MODERATORS TAFADHALI ONDOENI HII THREAD YA KIPUUZI! BE SMART&BALANCED OR YOUR REPUTATION&CREDIBILITY WILL BE QUESTIONED!!![emoji35] [emoji35] [emoji35]
Watamtoaje kwamfano? wakati wao sio waliomteua[emoji23] [emoji23]. Hapo ndipo wataishia kupiga kelele getini wakati watu 2po ndani tunabadili channel kwa runinga![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawawezi kushindana na Dola hawa wauza dona! Wakafie mbali huko! Sisi tuko pamoja na JPM na RC wetu wao waache wabaki na Gwajima![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan wanahabari watz akili ndogo sana walahi, ndio maana Mr. Ben alikuwa anawabeza[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan hamuoni kuwa hiyo ni chance ya kumpa ushindi RC wetu Makonda kwa kuamua kutokumwandika?Kwasababu logic iko hivi; wakati mnamwandika, hamkumwandika vyema kwenye vyombo vyenu, hasa...
UKAWA hamna tofauti na mwanamke mlalamishi ambaye nyumba yake imemshinda kwa udhaifu wake mwenyewe kisha anaanza kulaumu ndugu, jamaa na majirani zake. Poor you!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.