Recent content by mbwe

  1. mbwe

    Kitendo cha Yanga Kujiandaa Kuikabili Simba Kwa Siku Tatu tu Baada ya Siku ya Mwananchi September 12 Ni Dharau Kubwa Kwetu Simba, Lazima Tuwaonyeshe

    Hili swala la kuvujisha code za simba lipo kwenye uongoz hasa upande wa wanachama. Huu upande wa wanachama wa kuua galia kwa makini sana. Lakin pia huyu Ahmed sijui kwann simwamin kabisa. Pia kauli ya manara kua simba haitabeba ubingwa kwa miaka hata 10 wasipoligundua tatizo sio swala la kubedha
  2. mbwe

    Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

    Je alikiba kalipwa na diadora maana jez yake ina hiyo nembo
  3. mbwe

    Nawasihi ACT Zanzibar, hawajachelewa kujinasua na kabali ya ZZK!

    Hata baba levo aambiwe na watu wake wa karibu kua bungeni haendi pale kawekwa kama chambo tu. Lile jimbo ni la Zitto iwe kwa kura halal au vinginevyo. Namuona baba levo ashaanza kijiaminisha kua kigoma mjini ni yake. Ushaur asijetumia hela zake kizembe aende kwa step kubwa sana lile jimbo ni la...
  4. mbwe

    Nchi ina hela hii, Laini za simu zilizosajiliwa zimefika milioni 90.4 wakati watanzania tuko milioni 64, Unamilikije laini mbili kama huna pesa?

    Kuna ka manzi nasaidiana na wengine kukamiliki ajabu kanamilik laini 8 na kanataka kuongeza lain ya tisa. Sasa kushangaa wewe unayezungumzia lain mbili.
  5. mbwe

    Hii hapa mikoa inayotegemewa na TRA kwa mapato ya Kodi

    Inasomeka mkoa wa songwe sio mbeya kama zaman
  6. mbwe

    Kweli Simba kiungo cha chini (DM ) wameridhika na kante hawaongezi mchezaji mwingine wa kimataifa?

    Ukitaka kuelewa hizi timu zinatumika kisiasa na kwa makusudi fulani utaelewa kwenye huu usajil. Simba hii mpaka saiz haina namba 10 na ndio namba inayotuumiza sana na kutuangusha na viongoz wanalijua hili ila ajabu wanasajil ujinga ujinga tu. Niseme tu waza yanga ataendelea kubeba ubingwa hadi...
  7. mbwe

    Simba kweli kuna watu ni pimbi sana akili ndogo

    Unakumbuka wakat mkude anatambulishwa yanga alifanya kitendo gani ?je kilikua cha kiungwana?
  8. mbwe

    Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu

    Huyu mo hawajamuamulia tu ,simba na yanga ni mboni ya serikali . Siku akitaka kuleta sintofahamu atapokonywa hizo hisa na hatakua cha kufanya maana vilio vikizid had kuleta viashiria vya uvunjifu wa aman ajiandae kuachia simba kwa kupenda au kutopenda . Kanga inamhusu huyu mhindi mhuni
  9. mbwe

    Hili wimbi la wahamiaji hasa Burundi Jenerali wa Magereza anasubiri nini kupisha ofisi?

    Mbona hadi kwenye system tena ngazi ya juu washajipachika. Nimekaa kabanga pale kobero boda ya tz na burundi kiukwel warundi washavamia tz kirahis sana alafu wakifika tz cha kwanza wanamiliki kadi ya ccm na kadi ya yanga. Wengi wanamiliki hadi id za mpiga kura hadi nida
  10. mbwe

    Mohamed Zimbwe ni mwananchi

    Zimbwe ana jipya gani? Aendee tu tena hawa ni aina ya wachezaj wanaotuchelewesha sana
  11. mbwe

    Kama Ligi Kuu ya Tanzania ni mbovu kwanini Mayele anafanya vyema aliko na kama Ligi Kuu ya Tanzania ni nzuri kwanini Aziz K anafanya hovyo huko aliko?

    Hamisa ni mtu wa fursa tu . Sema mwamba atakuja kimbiwa vibaya mno na kupata msongo wa mawazo
  12. mbwe

    Yanga wqnachotaka ni kuhakikisha kwamba pale tff wanapandikiza watu wao !

    Yanga ilipigania uhuru toka kwa nan na hiyo vita ilikua ikipiganwa wapi? Tumesoma historia sijawah kuona neno yanga kua ndie aliyelikomboa hili taifa.msipende kujipa umuhimu kwenye hakuna. Uhuru tumepata mwaka 1961 sijawah ona popote neno yanga kwenye harakat za ukomboz bahat mbaya hiyo timu...
  13. mbwe

    Yanga yamwekea pingamizi Rais wa TFF Wallace Karia

    Huyu karia acha yanga wamwendeshe watakavyo yote kayataka yeye,mke wake kapewa ajira na gsm ule ulikua mtego mkubwa sana ,karuhusu gsm adhamini timu nane . Hapo hana ujanja na watadili nae sana . Safar hii akichomoka na kuupata huu urais nadhan atajifunza kuwakazia yanga vilivyo na kuondoa janja...
  14. mbwe

    Coach Fadlu: Simba hii haivutii kuitazama ikicheza

    Hata falsafa yake ni mbovu ,mpira wa backpass ni ujinga huo
Back
Top Bottom