Recent content by MbwangaE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Nitaenda mahakama ya kimataifa kwa ajili ya kufungua kesi kuhusu Rasimu ya Katiba

    Upande wa pili hakuna tena Tanzania Visiwani bali kuna Zanzibar, kwa maana hiyo hakuna Tanzania Bara bali kuna Tanganyika. Kwa nini upande mmoja utaifa ufe?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simba yashinda vita yake na Azam, huku ikimharibia Ngasa kwnda El-Merreikh ya Sudan,

    Nilidhani Azam wanakuja kuleta mapinduzi ya soka Bongo, kumbe yale yale malumbana kwa kwenda mbele. Mara rushwa bila uthibitisho na sasa Ngassa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania To Participate In Kenya's Rugby Sevens

    Just participating and not competing. How does this look like?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha iliyonigusa

    Kwa kweli inauma sana, Mungu atupe subra katika wakati huu mgumu na apumzishe roho za marehemu wote mahali pema peponi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mpo hapo?

    Bibi arusi analia nini?
Back
Top Bottom