Sasa hapa kuna tatizo. Nashukuru kwa wote mlochangia mmeonyesha jinsi ambavyo wa tz tusivyo na ubaguzi. Mie mkristo ila sijali sana hata akirudia mwuslam mara mia. Tunachotaka ni mtu mwadilifu, anayejua maana ya kuitwa Raisi kwa nchi maskini kama hii maana yake ni nini.
Ila pia wakati tunapomsaidia ndugu yetu hapa na sisi tukisaidiana pia tuunganishe na aina ya simu zinazokaa na charge muda mrefu. Althoght najua utumiajia na kufungulia internet data vina mchango wa kutumia charge. KARIBUNI WADAU.
Swenti naona kama umenishawishi. Anyway swali pina mantiki na hapa pia tunasaidiana na kuuliza sio ujinga. From my experience na smart phone kuna vitu kadha vinahusika. Aina ya mtandao, umbali na congestion ya server, aina ya simu na originality yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.