Nimecheki kwenye website ya WCF na website ya wizara ya kazi ajira na wenye ulemavu.kote sijaona kabisa hiyo kitu.Ngoja nicheki na pengine.Yaani hata tovuti ya serikali hamna.Majanga.
Mkuu hiyo ni test inayomsaidia mwajiri kupima vitu vile vya ziada kama situational analysis,problem solving,thinking capacity,uaminifu,uwezo wa kufanya maamuzi.etc
Habari za Ijumaa wakuu,
Naomba kufahamishwa namna ya kupata online test inayoitwa "Logic Assessment and Psychometric Test".
Kwa gharama ya chini zaidi au ikiwezekana iwe free,maana nimejaribu kuangalia baadhi ya links gharama zake ni kubwa kwangu kwa sasa ni usd 50-80.Nahitaji kuifanya hiyo...
Habari wakuu.Karibu ufurahie teknolojia mpya zitakazoongeza ufanisi,kupunguza gharama na kuongeza faida katika kazi zako.Tuna software mbalimbali kwaajili yako.Nazo ni:
-Accounting Package for service providers and goods suppliers.
-Hotel management system
-College/school management systems
-HR...
Habari zenu wakuu,
mimi ni mwanachama mpya wa jf,japo ni msomaji mzuri tu wa comment za watu bila kuwa mwanachama rasmi.JF imekuwa mtandao wangu bora wa kijamii tangu kitambo sana.Mnipokee na kunikaribisha.
Asante,Jumapili njema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.