Nimefuatilia kwa muda mrefu jinsi Tendwa anavyoropoka ropoka katika vyombo vya habari, nikagundua mojawapo ya tatizo lake hana mtaalamu wa habari na mahusiana katika ofisi yake wa kumshauri nini ongee, angee vipi, ongee wakati gani na kwa nani.
Siku hizi wizara, idara, makampuni binafsi na...