Kiwanda Cha kwanza kivipi we chawa,
Wakati Scania zinaunganishwa hapo kibaha TAMCO ulikuwa bado hujazaliwa,
Imba mapambio Yako lakini usipotoshe, kwamba ni kiwanda Cha kwanza Tanzania,
Mnampitisha mtu Ambae hata fomu ya kuomba kugombea hajachukua na kujaza,
Haya maajabu utayakuta CCM tu, Tena niwaulize ni lini Samia aliomba kugombea urais wa JMT?
Hakuna uelewa Dunia hapo, wewe Kila kinachokujia kichwani unakuja kupost mada zako uchwara huku,
Badilika Jo, umri wetu umesogea, haya mambo ya fitina waachie Mwashambwa na wenzie huko CCM
Makada wenzio unawaita mizoga? Kwako kina Mpina na wengine walokatwa ni mizoga,
Siasa zisikutie upofu Jo, Dunia hii Haina mwenyewe, walipita Mitume na wafalme, hivyo hata hiyo CCM Yako haitodumu milele
Wakiona dhulma inafanyiwa CDM, wanaona kama haiwahusu, sasa wanapitishwa mulemule, sasa ni kilio kuanzia Waitara, Gambo, na sasa Mpina.
Hapo bado kutafutiana kesi, na kufilisiana kwa kubambikwa makodi makubwa ya miaka kumi iliyopita,
Kupita sio shida, shida ni kutangazwa kuwa umeshinda kwa mfimo wetu wa amri kutoka juu,
Nina uhakika Mkurugenzi atakaemtangaza atakiona cha Moto kutoka kwa Mkwe wa Taifa wa TAMISEMI
Hata sasa mkuu, kama hutambuliki na wakubwa huko CCM, bado huwezi kupita,
Pia wakikuhitaji hata kama hujulikani unaweza kuwa mbunge hata pengine uwaziri, rejea nzuri ni kwa Mwana FA, walivyomtupa Mzee Adadi Rajabu, DCI mstaafu
Yakiwafika ndio kama ya Waitara anamwaga michozi, ili Hali amekula mshahara wa 18m kwa mwezi kwa miaka mitana hapo bado posha na kiinua mgongo Cha 400m
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.