Recent content by MBUZI MWENYE BUSARA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni bati zipi bora ukiachana na m-south?

    Habari wataalam wa ujenzi; Naomba nifahamishwe ni bati gani ambazo ni nzuri kuezekea lakini za kawaida yaani ukiachana na m-south?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, ukiambiwa tuma CV unapaswa kutuma na vyeti?

    Habari wadau wa ajira, Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia umpe CV yako yaani Curriculum vitae ana maanisha hiyo CV na vyeti au unaweza kutuma CV pekee yake?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, ukiambiwa tuma CV unapaswa kutuma na vyeti?

    Oooh sorry! Kumbe ni jukwaa la Ujenzi!!! Asante sana kwa kunitonya mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ukiambiwa tuma CV unapaswa kutuma na vyeti?

    Habari wadau wa ajira,. Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia umpe CV yako yaani Curriculum vitae ana maanisha hiyo CV na vyeti au unaweza kutuma CV pekee yake?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Amekataa tuwaandikie watoto
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Ushauri wako unasound kidogo mkuu lakini yeye amekataa kabisa tusiwaandikie watoto kwasababu wakifikisha miaka 18 wanaweza kudai nyumba yao!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Mkuu kwa ushauri wako huo ndoa itakuwa wapi nikifanya hivyo?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Kwa sasa amekubali tuandike Majina yetu Mimi na yeye hataki tuwaandike watoto. Lakini anataka tuandike hivyo halafu na kile kiwanja changu tuandike hivyo pia. Nyumba yenyewe sijamalizia naanza kufikiria kumwachia japo nawafikiria wanangu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nilivyoweza kuongeza kipato kutoka milioni 1 hadi milioni 14 kwa mwezi

    Aise una tabia Kama yangu sema Mimi bado sijatoka hapa nilipo nina miaka sita sasa ila najua nikitoka kilio kitakuwa si cha kitoto. Ila hata leo nikipata mchongo nitaondoka. Mimi ni mhasibu nipo Arusha nina degree sina CPA bado
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Acha tu sikujua hizo changamoto zingetokea. Ila hili limenivuruga kabisa. Yaani aliposema sema tuandike Majina yetu wote akapendekeza pia na kile kiwanja changu tufanye hivyo hivyo pia. Aise ni mtihani mkubwa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Pesa amekataa anasema Mimi nikilipwa nitakuwa sitajisikia vizuri kukaa kwenye hiyo nyumba.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Amekataa tuandike Majina ya watoto
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa pili

    Hahahaha! Sio kivile!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu makadirio ya bati na mbao kuezeka nyumba hii

    Ni kweli mkuu dirisha la choo cha public linafungukia choo cha master. Hilo nimekubali iwe hivyo. Fremu bado sijaweka.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa pili

    Mimi sina nia yoyote mbaya kama nilivyosema awali ni kulinda ndoa yetu tu kwani ana kaudhaifu ikiwa yake pekee yake
Back
Top Bottom