Recent content by mbuya f

  1. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natoka same- kilimanjaro, natafuta wa kubadilishana nae niende dar. Masomo yangu ni math/geo, mawasiliano 0756513325
  2. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mbadala toka morogoro, pwani, au dar. Yeye aje same mkoa wa kilimanjaro. masomo yangu ni history na kiswahil: mawasiliano 0718893304/0753235925
  3. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwlimu niko same-kilimanjaro, natafuta mwl. wa kubadishana nae, aje same, mimi niende kati ya morogoro, pwani au dar. Masomo yangu ni history na kiswahili. Mawasiliano: 0753235959/0718893304
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

    Haitoshi kusikia, utafiti ni muhimu, tuache siasa za chuki
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wale wa Old Moshi Sec (Moshi Sec) mpoo!

    Nimekumbuka mbali sana, mbona mnamsahau ngwinya, na pidid, hata photographer lisapita nae anasahalika kweli!!! yuko mama mmoja alikua anapiga chemistry akiandika heading ubao una jaa, mnamkumbuka
  6. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu nnayefundisha wilaya ya same mkoa kilimanjaro. Natafuta mwalimu wakubadilishana naye, yeye aje same mimi niende kati ya morogoro, pwani au dar, masomo yangu ni history na kiswahili, mawasiliano:0718893304 au 0753235925
  7. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa sekondari, nafundisha wilaya ya same mkoa wa kilimanjaro. Natafuta mwl. Kubadilishana nae, aje same mimi niende morogoro, au pwani au dar. Kwa mawasiliano: 0718893304 au 0753235925
Back
Top Bottom