Recent content by MBUTAIYO

  1. MBUTAIYO

    Ujenzi wa barabara Jwangwani

    Kuwa na subira, daraja linajengwa, hayo unayoyaona ni maandalizi ya site.
  2. MBUTAIYO

    Waandishi wa habari wa BBC na CNN waliwezaje kumpata Osama kwa mahojiano lakini serikali ya Marekani haikuweza kumpata kwa miaka mingi?

    Ninayo hapa inaitwa Targeting Bin Laden Live, nimeshindwa namna ya kui upload.
  3. MBUTAIYO

    PreGE2025 Video: Wananchi waungana kuwazomea CHAUMMA kwenye mkutano wao wa Serengeti. Washangilia "No Reforms No Election"

    Haya, hao ni CHADEMA. Hao wanachama wa CHAUMMA na wananchi wako wapi?
  4. MBUTAIYO

    PreGE2025 Video: Hivi ndivyo Helikopta ya CHAUMMA ilivyotua Serengeti

    Failed Project...Embezzlement of Public Funds...huko ni kanda ya Serengeti kwa akina Ruge Cathy watu wameamka
  5. MBUTAIYO

    Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

    Kwani walichotangaza ni uwongo? Hata hao wa ulaya wanajua hilo, ilikuwa ni muda tu.
  6. MBUTAIYO

    PreGE2025 Ofisi ya Msajili yatengua uteuzi wa wajumbe 8 wa sekretarieti na kamati kuu ya CHADEMA walioteuliwa na Tundu Lissu

    Nchi inaliwa CCM wapo tayari kupoteza Hela kwa kuunda CCM B na kukinunulia Chama Magari ili ionekane Kuna upinzani
  7. MBUTAIYO

    Haji Manara ametumwa kuongea utumbo vinginevyo viongozi wao wamkane

    Uwe unatumia akili kidogo tu ya kuzaliwa; 1. Manara hana wadhifa wowote Yanga, anaongea mambo yake mwenyewe kama wewe, uongozi wa Yanga unahusika vipi? 2. Uwanja wa Taifa haumilikiwi na Yanga, ni uwanja wa Taifa (Serekali), haingii akilini kusema makomandoo sijui kutoka nchi gani wamezuia simba...
  8. MBUTAIYO

    Kampuni za Kitanzania zahimizwa kuchangamkia zabuni Comoro

    Watupe NeST yao basi, au tunashirikije?
  9. MBUTAIYO

    Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

    Pole sana, Mungu Yu Mwema Wakati Wote, atakunyoshea mkono wake wa uponyaji upone haraka. Ukimtumaini Yeye, kila kitu kinawezekana.
  10. MBUTAIYO

    Musukuma atishia kuachilia meseji za Fedha alizotumiwa Mbowe kutoka CCM ili aendeshe chama, asema mchungaji Msigwa ni shahidi!

    Hata mimi ningekuwa mwenyekiti wa chama au raisi wa chama au mtu yoyote, nikipewa hela na majizi inayoibia wananchi siwezi kuiacha hiyo hela , na jua ni hela kiduchu inawarudia wananchi.
  11. MBUTAIYO

    Lissu: Siogopi kuitwa msaliti

    Aliyemuita msaliti ni Magufuli, acha uchonganishi.
  12. MBUTAIYO

    PreGE2025 BAWACHA: Usaliti wa Mch. Msigwa ni kukosa fadhila kwa CHADEMA, Tulimuokota akiuza Mitumba Iringa

    Ndivyo wanasiasa wa tz walivyo, wanaingia kwenye siasa wakitegemea kupata maslahi zaidi au kuukata. Kuna mwanasiasa mmoja ni Prof. yeye alikiri mwenyewe kwamba aliokotwa jalalani.
  13. MBUTAIYO

    Maandamano, Lissu kapoteza, Mbowe Kapata: Uchambuzi wangu

    Akili yako unaijua wewe mwenyewe na anayekutuma. Viongozi wa CHADEMA hawafanyi kazi kwa Kushindana!
Back
Top Bottom