Sioni kwa sasa kwa sababu mahitaji ya chakula, climate change and other factors zimefanya uhitaji wa chakula na mazao ya biashara kuwa mkubwa sana wakati gharama za kulima ziko juu sana. Ili kwa mfano upate gunia 15 -20 za mahindi kwa ekari moja ni lazima utumie pesticides, mbolea ya...
Side effects za pesticides zipo. Lakini kwa kilimo cha sasa, hasa large scale au commercial farming, matumizi yake hayaepukiki. Huwezi kulima ekari kwa mfano 30 au 50 za mahindi au mpumga usitumie madawa ya magugu, mbolea nk
Niko Mpanda, mtaa wa Simba kwenye Bar moja maarufu hapa, nimewauliza wenyeji kuhusu huo mgodi naona wanashangaa hiyo habari. Kuhusu Railway inapoishia reli pia si kweli kwamba inaishia kwenye mlima. Naweza kuleta hata picha, ni stesheni ndogo tuu na ya kizamani.
Tatizo history hamfuatilii mko bize na mipira Vs Mondi na Kiba. Umewahi kufuatilia Tanzania iliundwaje baada ya muungano? Ukiacha kuchanganya udongo na mengineyo ukweli ni kwamba vitu vingi vya iliyokuwa inaitwa TANGANYIKA vilibadilishwa na kuwa TANZANIA...
Badala ya kujadili hoja wewe umepaniki. Mmoja wa waasisi wa huu muungano aliwahi kusema muungano ni sawa na koti tuu likikubana unalivua. Mzee mwingine aliwahi nukuliwa akisema angekuwa na uwezo kisiwa hiki angelikisogeza mpaka katikati ya bahari ya hindi. Sasa wewe mwenzangu na miye uliyetoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.