Kilango ni mwanamke jasiri nina imani hakuna mbunge mwanamke ambaye anafanya anayoyafanya kilango same mashariki. sio kama masista duu kama vicky kamata,ester bulaya au wamaza kama ritha mlaki nk. mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Jimboni kwake amefanya mazuri tena mazuri kuliko...
Jamani jamani tu at least adabu zichukue mkondo wake! kama tunashabikia siasa halafu hatuijui ni vyema tukaacha kabisa! hilo jero mtu uliloingilia nalo cafe ni heri ungeenda kwa babu kwani pia kiherehere pia ni ugonjwa sugu. Anna still bado ni hot spear kwa mafisadi. huku jimboni kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.