Yani acha tu. Mimi sijajua ni namna gani mtu anaweza nishawishi mwanamke aliyekumbatia dini ndio mwanamke sahihi halafu nikubaliane nae kwenye hilo. Nahesabu siku kila mmoja aende na upande wake mana yasije yakafika pabaya zaidi.
Nilishuhudia kwa wadogo zangu wawili wanaonifuatia, ila zaidi ni wa mwisho kabisa ambae muda mwingi nilikuwa karibu na mama kiasi cha kuwa baadhi ya siku mtoto akicheza analifunua tumbo na ananionesha mtoto alivokuwa anachezacheza na alikuwa ananishikisha kabisa. Nilikuwa nina kama miaka 12 au...
Nilijitutumua kukupa definitions zote za Procession na Protest kwa kutegemea na wewe ungekuja na definitions ambazo zingejitosheleza kuelezea hicho ulichokiita maandamano kwa jina la procession na sio protest.
Ndio mana mwanzo nilikwambia unahitaji matibabu ya hicho kilichomo kwenye fuvu lako.
Hiyo ni biashara tofauti na unayoiwazia wewe. Yenyewe inajieleza “Building materials and products”. Au DP World wanafungua duka la hardware pale bandarini?
“PROTEST” ni uelezeaji au tamko la pingamizi la kutoidhinishwa au kutokubaliana ama kupinga jambo ambalo mtu hana uwezo wa kuzuia au kuepuka.
“PROCESSION” ni kikundi cha watu au vyombo vya moto kutembea barabarani au njiani na kwa utaratibu maalum, na mara nyingi huwa kama sehemu ya kuidhimisha...
Narudia tena, sijaona maandamano pale. Ile ni road walk ambayo malengo ilikuwa ni kuelekea mahali ambayo walikuwa wanaenda kukutana kwa ajili ya mkutano. Maandamano hayana hotuba wala speech, ni kukutana mahali fulani, tunaelekea mahali fulani kupitia barabara fulani. Unaandamana kuhusu katiba...
BAWACHA maandamano gani? Hata UVCCM pia huwaga wanaandamana. Mi sihesabii yale kama maandamano kwa sababu kwanza hayakuwa na ajenda fulani. Mi nachkulia ile kama “Road Walk” tu waliamua kunyoosha miguu. Sidhani kama una umri mdogo wa kutokufahamu maandamano ya kushinikiza Serikali kufanya jambo...
Dah! Katika maandamano nilijua yanaenda kufanyika ni yale na binafsi nilikuwa naiona historia inaenda kuandikwa Tanzania. Maskini Kumbe nilikuwa najidanganya 😂😂
Na ukiangalia vizuri hata hivyo vizazi vinaweza visiwe na huo uwezo kwa sababu wengi wa watanzania wanafundisha watoto wao kudeal na mambo ya msingi na yenye tija kwao na kujiepusha na vitu ambavyo vinaweza kuwaharibia maisha yao. Sidhani kama kuna mzazi wa Kitanzania anamfundisha mtoto wake...
Historia hiyo itaandikwa na watanzania hawa hawa wanaoishia kuandamana tweeter na kuacha askari wafanye mazoezi barabarani au kuna watu wengine wanaenda kuandika hiyo historia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.