Search results

  1. Mbunifu Mwaminifu

    Kuna aina ya Ukristo ambayo ni ushetani

    Yani acha tu. Mimi sijajua ni namna gani mtu anaweza nishawishi mwanamke aliyekumbatia dini ndio mwanamke sahihi halafu nikubaliane nae kwenye hilo. Nahesabu siku kila mmoja aende na upande wake mana yasije yakafika pabaya zaidi.
  2. Mbunifu Mwaminifu

    Ulishuhudia mama yako akiwa mjamzito?

    Nilishuhudia kwa wadogo zangu wawili wanaonifuatia, ila zaidi ni wa mwisho kabisa ambae muda mwingi nilikuwa karibu na mama kiasi cha kuwa baadhi ya siku mtoto akicheza analifunua tumbo na ananionesha mtoto alivokuwa anachezacheza na alikuwa ananishikisha kabisa. Nilikuwa nina kama miaka 12 au...
  3. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    Nilijitutumua kukupa definitions zote za Procession na Protest kwa kutegemea na wewe ungekuja na definitions ambazo zingejitosheleza kuelezea hicho ulichokiita maandamano kwa jina la procession na sio protest. Ndio mana mwanzo nilikwambia unahitaji matibabu ya hicho kilichomo kwenye fuvu lako.
  4. Mbunifu Mwaminifu

    DP World ameshapewa bandari?

    Hiyo ni biashara tofauti na unayoiwazia wewe. Yenyewe inajieleza “Building materials and products”. Au DP World wanafungua duka la hardware pale bandarini?
  5. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    “PROTEST” ni uelezeaji au tamko la pingamizi la kutoidhinishwa au kutokubaliana ama kupinga jambo ambalo mtu hana uwezo wa kuzuia au kuepuka. “PROCESSION” ni kikundi cha watu au vyombo vya moto kutembea barabarani au njiani na kwa utaratibu maalum, na mara nyingi huwa kama sehemu ya kuidhimisha...
  6. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    Na mimi nilijua tunazungumzia “Protest” na sio “procession” 🤷🏽‍♂️
  7. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    Kwaiyo wale wanaofanya road walk (vitambi noma) nayo ni maandamano?
  8. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    Nawe katibiwe kilichomo humo kwenye fuvu lako kama yake matembezi uliyatafsiri kama maandamano
  9. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    Narudia tena, sijaona maandamano pale. Ile ni road walk ambayo malengo ilikuwa ni kuelekea mahali ambayo walikuwa wanaenda kukutana kwa ajili ya mkutano. Maandamano hayana hotuba wala speech, ni kukutana mahali fulani, tunaelekea mahali fulani kupitia barabara fulani. Unaandamana kuhusu katiba...
  10. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    Anaitisha Maandamano Tanzania lakini yeye yupo Amerika
  11. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    BAWACHA maandamano gani? Hata UVCCM pia huwaga wanaandamana. Mi sihesabii yale kama maandamano kwa sababu kwanza hayakuwa na ajenda fulani. Mi nachkulia ile kama “Road Walk” tu waliamua kunyoosha miguu. Sidhani kama una umri mdogo wa kutokufahamu maandamano ya kushinikiza Serikali kufanya jambo...
  12. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    Dah! Katika maandamano nilijua yanaenda kufanyika ni yale na binafsi nilikuwa naiona historia inaenda kuandikwa Tanzania. Maskini Kumbe nilikuwa najidanganya 😂😂
  13. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    Na ukiangalia vizuri hata hivyo vizazi vinaweza visiwe na huo uwezo kwa sababu wengi wa watanzania wanafundisha watoto wao kudeal na mambo ya msingi na yenye tija kwao na kujiepusha na vitu ambavyo vinaweza kuwaharibia maisha yao. Sidhani kama kuna mzazi wa Kitanzania anamfundisha mtoto wake...
  14. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    Historia hiyo itaandikwa na watanzania hawa hawa wanaoishia kuandamana tweeter na kuacha askari wafanye mazoezi barabarani au kuna watu wengine wanaenda kuandika hiyo historia?
  15. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    That’s my concern. Mimi hupenda kuongea vitu kwa evidence. Kuna mwaka mmoja Maalim Seif (Mungu amlaze mahala pema) aliitisha maandamano Zanzibar, cha kushangaza na cha ajabu ni kwamba yeye alikuwa kwenye mstari wa mbele kabisa pamoja na mke wake Bi Awena kwenye kutekeleza yale maandamano. Hapa...
  16. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    Kama watanzania hatukubaliani na hayo, ni hatua gani tuchukuwe ikiwa hata kuandamana tunaogopa?
  17. Mbunifu Mwaminifu

    Mambo matatu yaliyojificha kwa watu wengi wenye akili za darasani

    Hii ndio ile inaitwa mbwa kala mbwa 😂😂
  18. Mbunifu Mwaminifu

    Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    Kiukweli sijawahi ona hata watu kuandamana kwa ajili ya mtu fulani kukamatwa au kufanyiwa jambo ambalo hakustahili. Zanzibar nakumbuka waliandamana hadi kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu, waliwahi kuandamana kwa ajili ya kukamatwa masheikh wa Uamsho. Lakini hapa hata Ney wa Mitego akikamatwa...
Back
Top Bottom