Recent content by Mbunifu 11

  1. Mbunifu 11

    JamiiForums Tanzania Huduma ya physiotherapy

    Mkuu huko kwa mjeshi ndo wapi?
  2. Mbunifu 11

    JamiiForums Tanzania Nasumbuka na uzazi

    Hii ni tatizo,shida itakuwa iko kwake,aende naye akapime,Pole sn.
  3. Mbunifu 11

    JamiiForums Tanzania Huduma ya physiotherapy

    Wakuu heshima kwenu,eti ni hospital gn nzr ya private inayotoa Huduma ya physiotherapy kwa dar?
  4. Mbunifu 11

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anahitaji mume

    Amen
  5. Mbunifu 11

    JamiiForums Tanzania Kweli Urais siyo mchezo: Magufuli amezeeka aisee!!!

    Kwani uzee ni dhambi?
  6. Mbunifu 11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimepewa sifa mpaka nikajiona ni mimi tu

    Hahahahaaaaaaaaa,hii hatareee mkuu
  7. Mbunifu 11

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anahitaji mume

    Wewe shida yako ni nini? Au nawewe unatafuta mume?
  8. Mbunifu 11

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anahitaji mume

    Umri umefanyaje?
  9. Mbunifu 11

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anahitaji mume

    Utaingia wewe labour badala yake
  10. Mbunifu 11

    JamiiForums Tanzania Simbachawene anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kujeruhi

    Huyu jamaa,mbona anaonekanaga mstarabu sn jamani
  11. Mbunifu 11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

    Mmmmmmh,kwa ushauri huo hapana aisee
  12. Mbunifu 11

    JamiiForums Tanzania Tangawizi, limao, apple vinegar na vitunguu swaum vimeniletea shida

    Ndo maana nikakwambia uwezo wako wakufikiri ni mdogo,siunaona sasa umekimbilia kutukana,hahahahaaa.Aisee achana na Uzi wngu,sitaki ma zero brain hapa mimi.
  13. Mbunifu 11

    JamiiForums Tanzania Tangawizi, limao, apple vinegar na vitunguu swaum vimeniletea shida

    Asante k Asante kwa ushauri mkuu
  14. Mbunifu 11

    JamiiForums Tanzania Tangawizi, limao, apple vinegar na vitunguu swaum vimeniletea shida

    Akili yako ni ndogo,huwezi kufikiria mambo kwa mapana
  15. Mbunifu 11

    JamiiForums Tanzania Tangawizi, limao, apple vinegar na vitunguu swaum vimeniletea shida

    Ndiyoooo we inakuhusu nini?
Back
Top Bottom